Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.

Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.

Naombeni ushauri..
mkuu suala la diet limemake sense kama Mr nae anashida hii you have to see mnakula nini.

kama ni chakula chenye gesi sana kama Maharage mpunguze muanze kupiga vegies
 
mkuu suala la diet limemake sense kama Mr nae anashida hii you have to see mnakula nini.

kama ni chakula chenye gesi sana kama Maharage mpunguze muanze kupiga vegies
wala hatuli maharage usiku hatujui tu shida ni nini . ila mr yeye anajamba siku amekunywa mimi ni mjambaji siku zote alfajiri
 
wala hatuli maharage usiku hatujui tu shida ni nini . ila mr yeye anajamba siku amekunywa mimi ni mjambaji siku zote alfajiri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkijifunika si shida sana jmn!
 
Kujamba siyo tatizo kama hewa haichafuki, ila kama hewa inachafuka kuwa makini na chakula unachokula hakikisha matunda yenye fibres hayakosekani
 
bahati nzuri tunajamba mida ya kuamka labda wkend ndo tunateseka maana mabomu yakianza hakulaliki tena mtoto anashtuka anaanza kulia
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Hebu nendeni Korea
 
Mtamfanya mtoto ukubwani aje kuwa tester wa gongo na sembe bure. Mnampaje shidaaa? Wasiliana na uchina kuna vidonge ukimeza unachagua radha tu ya ushuzi wako. So ukiachia kitu unakuta ni full strawberry...[emoji1]
Mleta mada chukua ushauri huo
 
...we sister nawe comedy sana,
..mi nimeishia kucheka tu
.sina ushauri!
 
Back
Top Bottom