cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
mkuu suala la diet limemake sense kama Mr nae anashida hii you have to see mnakula nini.Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.
Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.
Naombeni ushauri..
kama ni chakula chenye gesi sana kama Maharage mpunguze muanze kupiga vegies