Retired Sister
Senior Member
- Jan 11, 2013
- 182
- 224
- Thread starter
- #61
sawaAcha kula maharagwe
Kula mboga za majani kwa wingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sawaAcha kula maharagwe
Kula mboga za majani kwa wingi
Tatizo unalo na ndilo lililokufanya uanzishe huu uzi na linaonekana unapokuwa na kujamba kusiko kwa kawaida. Dalili sio maumivu pekee bali hata huko kujamba jamba asubuhi kusiko kwa kawaida ni kiashiria cha tatizo Dadasawa nashukuru nitaenda kupima ila sina tatizo lolote la tumbo
namaanisha kama kuumwa tumbo au kukosa choo nduguTatizo unalo na ndilo lililokufanya uanzishe huu uzi na linaonekana unapokuwa na kujamba kusiko kwa kawaida. Dalili sio maumivu pekee bali hata huko kujamba jamba asubuhi kusiko kwa kawaida ni kiashiria cha tatizo Dada
Kuumwa,kukosa choo nazo ni dalili kama huko kujamba Dadanamaanisha kama kuumwa tumbo au kukosa choo ndugu
ha ahhaha pole mway me sina ujuzi ila umenichekesahata nikinywa maji tu milipuko ipo palepale asubuhi
Hutowashinda WAHINDInitashinda hakika
nimekuelewa nashukuru kwa msaada wako nitaenda kupimaKuumwa,kukosa choo nazo ni dalili kama huko kujamba Dada
Lakini kunakuwa na tatizo LA msingi
yaani mtoto wangu mchanga anapata shida sana maana baba yake nae anajamba sana kuna mtu alisema tumeambukizanaha ahhaha pole mway me sina ujuzi ila umenichekesa
ha hahahahha acheni kumtesa mtoto mavyakula ya gesi mnakula sanayaani mtoto wangu mchanga anapata shida sana maana baba yake nae anajamba sana kuna mtu alisema tumeambukizana
shida itakua diet kweli mpaka mr doooha hahahahha acheni kumtesa mtoto mavyakula ya gesi mnakula sana
kabisa diet ni tatizo warekebishe hiloshida itakua diet kweli mpaka mr dooo
Huwezi kujua, minyoo unaweza kuwa nayo maisha yako yote na usitambuesawa nashukuru nitaenda kupima ila sina tatizo lolote la tumbo
Emu ngoja mkuu... Unaish wap?Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.
Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.
Naombeni ushauri..
si nitafumua paaPendelea kulala kifudi fudi japo masa 2 hasa karibu na alfajiri