cosa nostra
JF-Expert Member
- Sep 17, 2010
- 1,773
- 1,805
mkuu suala la diet limemake sense kama Mr nae anashida hii you have to see mnakula nini.Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.
Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.
Naombeni ushauri..
sawa nashukuru nitaenda kupima kesho maana najamba hadi naogopaHuwezi kujua, minyoo unaweza kuwa nayo maisha yako yote na usitambue
wala hatuli maharage usiku hatujui tu shida ni nini . ila mr yeye anajamba siku amekunywa mimi ni mjambaji siku zote alfajirimkuu suala la diet limemake sense kama Mr nae anashida hii you have to see mnakula nini.
kama ni chakula chenye gesi sana kama Maharage mpunguze muanze kupiga vegies
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah umenivunja mbavu aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]si nitafumua paa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]wala hatuli maharage usiku hatujui tu shida ni nini . ila mr yeye anajamba siku amekunywa mimi ni mjambaji siku zote alfajiri
Mtamfanya mtoto ukubwani aje kuwa tester wa gongo na sembe bure. Mnampaje shidaaa? Wasiliana na uchina kuna vidonge ukimeza unachagua radha tu ya ushuzi wako. So ukiachia kitu unakuta ni full strawberry...[emoji1]ha hahahahha acheni kumtesa mtoto mavyakula ya gesi mnakula sana
bahati nzuri tunajamba mida ya kuamka labda wkend ndo tunateseka maana mabomu yakianza hakulaliki tena mtoto anashtuka anaanza kulia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mkijifunika si shida sana jmn!
anataka nipasue vioo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dah umenivunja mbavu aisee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
nakula kiafya sana ila kujamba kupo pale paleKujamba siyo tatizo kama hewa haichafuki, ila kama hewa inachafuka kuwa makini na chakula unachokula hakikisha matunda yenye fibres hayakosekani
KITAMBI ICHO BABA!Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.
Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.
Naombeni ushauri..
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]bahati nzuri tunajamba mida ya kuamka labda wkend ndo tunateseka maana mabomu yakianza hakulaliki tena mtoto anashtuka anaanza kulia
Litaezekwa tu usijali au fudi hayopo?si nitafumua paa
Ahaaaaaa... Hongera kwa kuongeza siku za kuishiNimecheka sana mkuu, mimi ni binadamu.
Mleta mada chukua ushauri huoMtamfanya mtoto ukubwani aje kuwa tester wa gongo na sembe bure. Mnampaje shidaaa? Wasiliana na uchina kuna vidonge ukimeza unachagua radha tu ya ushuzi wako. So ukiachia kitu unakuta ni full strawberry...[emoji1]
Ahaaaaaa... Mpaka mosquito net itachomokasi nitafumua paa
Usije kumchokoza mmarekani sio kwa mabomu hayo ya nyukria!vingine inabidi nisindikize mengine yanalipuka tu yenyewe angani
Duuuh kwahiyo ndoa yenu Ni fulu kujamba, ila poleni sana.naishi nae hana shida hata yeye ana tatizo .shida ni kwa kachanga ketu