Dickson Katarama
Member
- Apr 3, 2017
- 21
- 11
HeeNjoo tujambiane
Ila harufu inategemea, kama mtu hajapata choo lazima itoke harufu mbaya, kama ya kuozausiombe ukutane na mishuzi ya maharage au maboga na viazi sukari haki utajuta harufu yake
Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.
Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.
Naombeni ushauri..
mwisho wangu kula ni saa kumi na mbili jioni na nakula tu matunda ila bado hali ni ile ile
Chupi haibaki na harufu?Shaurilo. Najamba kwa kaenda mbeleeeee.
Tena najamba ya sauti Maana Yale ya yusuph yananuka mpaka najikimbia
Vipi mkuu
MaaninaKujamba s uhai jamani...
Hivi ungekuwa unajamba kama Mimi ungesemaje???
Na wala sijishtukii uhai babu weee
Huyu maserati ameshindikana,[emoji23][emoji23]Shaurilo. Najamba kwa kaenda mbeleeeee.
Tena najamba ya sauti Maana Yale ya yusuph yananuka mpaka najikimbia
Nashangaa kuwa unataka mjambianeVipi mkuu
Yes yes,kujamba kwa afyaNashangaa kuwa unataka mjambiane
Post 112
Sitafutiii. Na sihitajiNjoo tujambiane