Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Ninajamba sana ifikapo asubuhi

Chunguza utakuwa unalala bila kujifunika tumbo linapigwa baridi na kutengeza Gesi.jaribu kulala umejifunika au lala na nguo uangalie matokeo.
 
Kama hauna amoeba basi utakuwa na taifodi kapime maake umesema si kawaida kapime
 
Epuka kunywa maziwa fresh, yana gasi sana. Pia jitahidi kula mboga mboga na matikiti ili kupunguza uzalishaji wa gesi tumboni. Niliwahi kuwa na tatizo hili nikatibu kwa matunda na mbogamboga tu. Asali asubuhi, mchana na jioni ni muhimu sana
 
mmh nenda muhimbili uone, kuna watu wanawish wajambe kama wewe ila hawawezi.
 
Back
Top Bottom