Kama unakunywa maji punde ukimaliza kula, au kula vyakula vilivyokangwa ka chipsi inasababisha hilo tatizo,jitahidi usinywe maji ndani ya nusu SAA baada ya kulasio mzito sana ila katoto kanashtuka shtuka sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama unakunywa maji punde ukimaliza kula, au kula vyakula vilivyokangwa ka chipsi inasababisha hilo tatizo,jitahidi usinywe maji ndani ya nusu SAA baada ya kulasio mzito sana ila katoto kanashtuka shtuka sana
Hili ndo jibu sahihi. Hzo zingine ni sababu ndgondgo tuuuKITAMBI ICHO BABA!
Ale nn papaiEpuka kula chakula I mean heavy food hasa inapovuka saa tatu ya usiku, jitahidi kula matunda kwa wingi hasa unapokwenda kulala ili kuondoa tatizo hilo! Ulaji wa Chakula kizito kama ugali au wali pindi inapovuka saa tatu ya usiku hakimeng'enywi na badala yake kinabaki kama sumu tumboni that's why unajamba sana mkuu!
Mtaka overdose sasa hako kachangaaanaishi nae hana shida hata yeye ana tatizo .shida ni kwa kachanga ketu
Tegesha voice recordernakula tu kawaida usiku .chakula kidogo au matunda inategemea. kujamba kunaanza kabla ya kupata haja kubwa.ninashtuliwa na vijambo maana vinakuwa vikubwa mno .nadhani nitakuwa najamba hata usingizini
Polessna mkuuvingine inabidi nisindikize mengine yanalipuka tu yenyewe angani
Kwa wanafunzi wa bweni sijui hali inakuwaje.Mi nikila maharage ni kosa nishaamua kuacha nakula mara moja moja
He,hakuna dawa ya ushuzi,ni kuubana tunakula tu kawaida usiku .chakula kidogo au matunda inategemea. kujamba kunaanza kabla ya kupata haja kubwa.ninashtuliwa na vijambo maana vinakuwa vikubwa mno .nadhani nitakuwa najamba hata usingizini
Haha,jamba mkuu,jamba sana kwa afya,kuna uzi humu unaelezea faida za ushuziMi nikila maharage ni kosa nishaamua kuacha nakula mara moja moja
Njoo tujambianeKujamba s uhai jamani...
Hivi ungekuwa unajamba kama Mimi ungesemaje???
Na wala sijishtukii uhai babu weee
Hahahhahahhapana mi sitaki tena najamba hadi hewa inaisha mwilini bwana
Naombeni msaada wa kitabibu nina tatizo la kujamba sana wakati wa kulala sanasana kipindi cha Alfajiri.
Sina shida yoyote ya tumbo ila asubuhi nakuwa nalipuka haswa.
Naombeni ushauri..