Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Mm kwenye tuzo za Golden Globes waliposema tu wao ni Godless Town nikajua lazma kiwalambe! Halafu Mungu unampa ZERO SCORE 😃 eti Seraphim and Cherubs wakae kimya?! Enewei kuna picha moja inasambaa sana Reddit inaonesha kuna Mwamba black fulani hivi ana mabawa yupo zake anafanya surveillance! GOD IS REALLY! MOCKERY IS ABOVE THE POINT NDANI YA MAREKANI
 
Kweli mshana kuhusu Mungu wenye mizaha wanaponza watu!
 
kufuru na laana ya ufirauni itawatesa sana hao jamaa 🐒
 
Kupiga kura watu wenye thamani,....
Mungu siyo mtu, hilo kosa kubwa la kwanza.
 
Ha ha ha..... Tutasikia stories nyingi sana za kubumba. Cheche inapaaa......inarukia jengo jingine....🤣🤣🤣🤣🤣 JF INA WATU UKIKAA HUMU UNACHEKA TU
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…