Ninajua kila mtu anajua kinachoendelea kule Los Angeles ila sijui ni wangapi wanajua chanzo cha ule moto unaouangamiza mji wa uzuri wa Dunia

Lile tukio linasikitisha sana, halafu yule binti baada ya kusema ile kauli, karibia ukumbi mzima ukaangua Kicheko.

Yaani ile wanajua nini wanachokifanya.

Mungu wasamehe hawa watu.
Ila nlijiuliza, matatizo mengine ni ya kujitaftia, Mungu alikuwa anahusika nini kwenye tuzo za Golden globes mpaka atajwe? Tena yule binti alitaja kabisa God, creator of the universe, kusisitiza kua hakumaanisha miungu mingine, bali muumbaji Mwananchi B
 
When rational fails we turn to spirituality...

By the way kama huyo Mungu waliyempa Sifuri anaghadhabu na visasi kiasi hiki nadhani walikosea wangempa kabisa Negative.., na wako sawa kutaka kukaa nae mbali kabisa.
 
Los Angeles ni Sodoma ya leo na Mungu Mkuu anaipiga kiberiti wacha wamjue Mungu kuwa ndiye Muumba wa vyote.
 
Mkuu Mshana,hii umeandika wewe ama umekopi na kupaste mahali?
 
Andiko lako linaweza kuokoa roho. Be blassed brother
 
Ni Yale Yale watoto wa kiume kujifanya mademu ndio moto umekuja ndio michezo ya mwanetu wa kariakoo na mwenzie 😀😃😃😃
Machogo km wewe ndo mnasababisha dunia iwe na moto.!! Acha uchogo auntie vee 🤮
 
Ila kiukweli California kule hollywood, ukisikia mansions huko ndipo kuna mansions... kuna watu wanaishi.. kwenye GTA SA wamepaita California kama San ANdreas, kuna mansions kwenye vilima za hatari...

 
Bullshit.
 
...Kuna Timu hapa Nyumbani ilidai kuwa ni Nzuri Sana kiasicha Mashabiki Kumuomba Mungu awaletee Malaika wacheze nao...Kikafuliliza vipigo vya 3, 3...Mpaka Timu ikashika Adabu !! [emoji1]
Hawatakaa waurudie upuuzi wao ule😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…