Wacha1
JF-Expert Member
- Dec 21, 2009
- 16,681
- 8,241
Nilichukua mimi nikapeleka kwenye shamba la bibi. Wewe unaweweseka na euro 27 million?Euro za korona mmepeleka wapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilichukua mimi nikapeleka kwenye shamba la bibi. Wewe unaweweseka na euro 27 million?Euro za korona mmepeleka wapi?
Mna ushahidi wa mtu mliyempiga risasi 16 na kumsababishia ulemavu?Usifikiri kuna mtu atapata raha upinzani.... na vile tuna ushahidi wa ugaidi mipango wa Tundu na genge lake kwetu raha tuu
Tunamshukuru kwa kutanguliza ushahidi wa matendo yake ya sirini
Muheshimiwa Mungu au huyu Mungu anayesema usiue???TANZANIA ni nchi huru na tuna natural resources nyingi tuu za kufanya tuwe self reliant kwahiyo porojo zenu za bei chee hazitatufanya tushindwe kusonga mbele kama Taifa.
Hii vita ya kiuchumi tutaishinda tuu kwa uwezo wa Mungu.
Alipigwa risasi kwenye uchaguzi?Mna ushahidi wa mtu mliyempiga risasi 16 na kumsababishia ulemavu?????😂😂😂😂
Kweli ujinga ni kipaji hapo Lumumba
Unataka tushikamane naye kwa namna gani eti...?Maisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji. Kimsingi mapambano yoyote ya kisiasa msingi wake ni uchumi ni nani apate nini na kwa wakati gani. Taifa letu linapita kwenye kipindi kigumu kutokana na jitihada za Rais wetu kuleta mageuzi ya kiuchumi ili kulifanya taifa kujitegemea na kwa kulinda raslimali zake. Hivyo vita vya ndani na nje ya nchi kama taifa na Rais wetu ni matokeo ya jitihada hizo na matamanio ya kundi la ndani ya nchi kushirikiana na mataifa nyonyaji nje. Kihistoria kuanzia wakati wa biashara ya utumwa, ukoloni na sasa ukoloni mambo leo Afrika imekuwa mhanga wa ukandamizwaji na mataifa makubwa kunufaika na raslimali ipatikanayo Afrika. Fika ulaya ujionee ilivyojengwa kwa raslimali zetu na biashara ya utumwa enzi hizo.Mataifa haya hayataacha kupigania kututawala kiuchumi yakijua raslimali iliyopo ni muhimu kwa mustakabali wa mataifa hayo. Kelele tunazosikia kwenye siasa ndani na nje ya nchi ni vita ya kiuchumi. Hivyo watanzania tushikamane na Rais wetu dhidi ya unyonyaji huu. Aidha vyombo vya dola, serikali na mifumo yote haina budi kujengwa upya kwa mwelekeo wa falsafa ya kizalendo na kujitegemea ili kukabiliana na vita hii ambayo hujitokeza katika sura na mbinu mbalimbali zisizo na kikomo.
Unafikiri Amsterdam kaweka mambo ya uchaguzi tu? Jiandaeni kusema mlimzika wapi Ben Saanane!!Alipigwa risasi kwenye uchaguzi?
Mbona unachanganyikiwa mapema 😁
Wakitaka chao mnakuja kuomba mshikamano. Mlikuwa wapi tulipokua tunateseka na huyoMaisha ni uchumi na uhuru wa kweli ni uchumi. Wale waliosomea siasa Uchumi yaani political Economy wanajua uhusiano wa siasa na uchumi. Pia wanafahamu uhusiano wa binadamu juu ya uzalishaji. Kimsingi mapambano yoyote ya kisiasa msingi wake ni uchumi ni nani apate nini na kwa wakati gani. Taifa letu linapita kwenye kipindi kigumu kutokana na jitihada za Rais wetu kuleta mageuzi ya kiuchumi ili kulifanya taifa kujitegemea na kwa kulinda raslimali zake. Hivyo vita vya ndani na nje ya nchi kama taifa na Rais wetu ni matokeo ya jitihada hizo na matamanio ya kundi la ndani ya nchi kushirikiana na mataifa nyonyaji nje. Kihistoria kuanzia wakati wa biashara ya utumwa, ukoloni na sasa ukoloni mambo leo Afrika imekuwa mhanga wa ukandamizwaji na mataifa makubwa kunufaika na raslimali ipatikanayo Afrika. Fika ulaya ujionee ilivyojengwa kwa raslimali zetu na biashara ya utumwa enzi hizo.Mataifa haya hayataacha kupigania kututawala kiuchumi yakijua raslimali iliyopo ni muhimu kwa mustakabali wa mataifa hayo. Kelele tunazosikia kwenye siasa ndani na nje ya nchi ni vita ya kiuchumi. Hivyo watanzania tushikamane na Rais wetu dhidi ya unyonyaji huu. Aidha vyombo vya dola, serikali na mifumo yote haina budi kujengwa upya kwa mwelekeo wa falsafa ya kizalendo na kujitegemea ili kukabiliana na vita hii ambayo hujitokeza katika sura na mbinu mbalimbali zisizo na kikomo.
Wewe endelea na ramli chonganishi tungekuwa front yaani wewee zamaaaaaaaani kazi kwishaaaMuheshimiwa mungu au huyu Mungu anayesema usiue???
Chadema ndio mtaeleze mlikowapeleka. Kuanzia Chacha Wangwe..?Unafikiri Amsterdam kaweka mambo ya uchaguzi tu??? Jiandaeni kusema mlimzika wapi Ben Saanane!!
Hahahahaha vizuri kabisa. Tutakutana UholanziChadema ndio mtaeleze mlikowapeleka. Kuanzia Chacha Wangwe..?
Hahahahaha endelea tu kutema nyongo. Mie natuma kwa wahusika kujenga ushahidi ni jinsi gani mnauwa kweli watuWewe endelea na ramli chonganishi tungekuwa front yaani wewee zamaaaaaaaani kazi kwishaaa
Hahahahaha vizuri kabisa. Tutakutana uholanzi
Sawa kabisa, tukutane ICC uholanziYaliyo sirini yatafichuka yote iwe ICC au Tanzania mtayajibu ni swala la muda tuu
Ndio mtajua hamjui
Safi kabisa tukubonanaUsifikiri kuna mtu atapata raha upinzani.... na vile tuna ushahidi wa ugaidi mipango wa Tundu na genge lake kwetu raha tuu
Tunamshukuru kwa kutanguliza ushahidi wa matendo yake ya sirini
Kwa hiyo Democracy inazuia uchumi kukuwa ?Tuko kwenye vita ya uchumi demokrasia inatumika kama mwamvuli tuu
Kwa hiyo Democracy inazuia uchumi kukuwa ?! . Akili za wauaji hizi
Tuko kwenye vita ya uchumi demokrasia inatumika kama mwamvuli tuu
Daaah! Utoto umekuzidi mtu gani ambaye hujivunii utaifa wako?Hahahahaha endelea tu kutema nyongo. Mie natuma kwa wahusika kujenga ushahidi ni jinsi gani mnauwa kweli watu