Ninakubaliana na Rais hakuna vita ngumu kama ya uchumi, tushikamane

Usifikiri kuna mtu atapata raha upinzani.... na vile tuna ushahidi wa ugaidi mipango wa Tundu na genge lake kwetu raha tuu
Tunamshukuru kwa kutanguliza ushahidi wa matendo yake ya sirini
Mna ushahidi wa mtu mliyempiga risasi 16 na kumsababishia ulemavu?

Kweli ujinga ni kipaji hapo Lumumba
 
TANZANIA ni nchi huru na tuna natural resources nyingi tuu za kufanya tuwe self reliant kwahiyo porojo zenu za bei chee hazitatufanya tushindwe kusonga mbele kama Taifa.

Hii vita ya kiuchumi tutaishinda tuu kwa uwezo wa Mungu.
 
TANZANIA ni nchi huru na tuna natural resources nyingi tuu za kufanya tuwe self reliant kwahiyo porojo zenu za bei chee hazitatufanya tushindwe kusonga mbele kama Taifa.

Hii vita ya kiuchumi tutaishinda tuu kwa uwezo wa Mungu.
Muheshimiwa Mungu au huyu Mungu anayesema usiue???
 
Mna ushahidi wa mtu mliyempiga risasi 16 na kumsababishia ulemavu?????πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kweli ujinga ni kipaji hapo Lumumba
Alipigwa risasi kwenye uchaguzi?
Mbona unachanganyikiwa mapema 😁
 
Unataka tushikamane naye kwa namna gani eti...?

Yaani unataka kila mtu ashiriki dhambi na uchafu wake?

Kwa kuwa yeye ni MWIZI na FISADI, kwa hiyo wote tuunge mkono wizi na ufisadi kama njia ya kumuunga mkono, right?

Au unataka tukubaliane na tuunge mkono wizi wa kura ktk uchaguzi wa wiki juzi uliomfanya awe Rais tena?

Tumuunge mkono kukamata, kutesa, kupoteza na kuua kwa risasi wanaokosoa mbinu zake za hovyo na kijinga za mapambano ya vita yake...?

Honestly, hiyo siyo VITA YA NCHI YA KIUCHUMI bali hiyo ni VITA YAKE MAGUFULI na WATU WAKE, sisi wengine haituhusu...

Vita gani hii ambayo haijulikani tunapigana na adui gani? Maana tunaambiwa tunapigana na mabeberu...

Sasa hebu sema kama unawajua hao mabeberu tunaopigana nao kwa majina ni kina nani? For sure kabisa, hata Magufuli hawajui na ukimuuliza ataishia kujiuma uma tu...

Ndiyo sasa uanze kulewa kuwa, mnaaminishwa ujinga tu kwa sababu hakuna kitu hicho kinachosemwa "vita ya kiuchumi"...

Kwa hiyo ndugu, please hebu jaribu kuwa serious kidogo ktk kufikiri kwako...

Jaribu kuacha ujinga kidogo ingalau kwa siku moja basi...!!
 
Wakitaka chao mnakuja kuomba mshikamano. Mlikuwa wapi tulipokua tunateseka na huyo
 
Unafikiri Amsterdam kaweka mambo ya uchaguzi tu??? Jiandaeni kusema mlimzika wapi Ben Saanane!!
Chadema ndio mtaeleze mlikowapeleka. Kuanzia Chacha Wangwe..?
Tunashukuru kwa hilo pia.

Yaliyo sirini yatafichuka yote iwe ICC au Tanzania mtayajibu ni swala la muda tuu
 
Usifikiri kuna mtu atapata raha upinzani.... na vile tuna ushahidi wa ugaidi mipango wa Tundu na genge lake kwetu raha tuu
Tunamshukuru kwa kutanguliza ushahidi wa matendo yake ya sirini
Safi kabisa tukubonana
 
Mbogamboga wanaruka na kukanyagana! πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…