Uchaguzi 2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

IMG-20200707-WA0101.jpg
 
Anajua mwenyewe alichokifanya ndio maana kawa mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwache avune alichopanda, nadhani picha halisi ameanza kuiona hapa
Halafu hawasemi lo lote wamekazana tu kumpopoa mawe. Alishafanya kosa gani huyu dogo? Si kwa kushambuliwa huku wallaqi !!!
 
Vipi wewe bado hujatangaza nia? [emoji28] [emoji2089][emoji2089]
Poti haya mambo yana wenyewe. Kule kwetu lipo Lijoka Makengeza labda mpaka life au lichoke lenyewe. Lina hela balaa na sasa limejenga kiwanda cha mikate wananzengo wakipewa mikate ya bure tu kwisha...

Huko kwako UK hakuingiliki?
 
Poti haya mambo yana wenyewe. Kule kwetu lipo Lijoka Makengeza labda mpaka life au lichoke lenyewe. Lina hela balaa na sasa limejenga kiwanda cha mikate wananzengo wakipewa mikate ya bure tu kwisha...

Huko kwako UK hakuingiliki?
Hizi Siasa zina wenyewe poti. Acha wazifanye wenyewe wanaozipenda, huko UK nasikia kuna wagombea kibao; waache tu watoane ngeu huko. Mimi nakomaa na kazi yangu ya kuponda kokoto hapa. 😅 😅
 
Utamuweza Mzee Eng. P. Chiiza?

Hapo kakonko Mzee bilago ndiyo alifiti
Mungu amrehemu.
 
Huyu jamaa kuna siri kubwa nyuma ya pazia.Huyu Jamaa CCM hakuingia kwa hiari.Inaonekana hakuwa na chaguo jingine zaidi ya kujiunga CCM
Dogo amejisalimisha kwa mtutu wa Bunduki,Afisa Usalama wa Kankoko katumia nguvu sana kumsainisha dogo ili atangaze kuhama.Kifupi,dogo kapitia mateso sana siku kadhaa kabla ya kutakiwa kutangaza kujiunga na huko alikoenda.

Siasa za namna hii hazina uhai kwa mahali anapokwenda,maana mnakuwa na wanachama wanaotokana na vitisho,ahadi na mateso,na sio sera.Tumefikia hatua hii,na tutafika kubaya zaidi tunapoelekea 2020.Wakati mwingine tupime akili na kujua historia na hulka za wagombea kabla ya kuwapa madaraka makubwa.

Kuna hatari siku moja huko tunakoenda,nchi ikawa chini ya "mwezi mchanga",na kwa aina ya katiba yetu,tutabaki kulaumiana kwenye vijiwe vya kahawa,tukitoka tunaufyata,maana mwezi mchanga ana dola yenye jeshi,mahakama,polisi na magereza
 
Back
Top Bottom