Uchaguzi 2020 Ninakusudia kuchukua fomu ya kugombea Ubunge Buyungu kupitia CCM

Anajua mwenyewe alichokifanya ndio maana kawa mpole[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mwache avune alichopanda, nadhani picha halisi ameanza kuiona hapa
Halafu hawasemi lo lote wamekazana tu kumpopoa mawe. Alishafanya kosa gani huyu dogo? Si kwa kushambuliwa huku wallaqi !!!
 
Vipi wewe bado hujatangaza nia? [emoji28] [emoji2089][emoji2089]
Poti haya mambo yana wenyewe. Kule kwetu lipo Lijoka Makengeza labda mpaka life au lichoke lenyewe. Lina hela balaa na sasa limejenga kiwanda cha mikate wananzengo wakipewa mikate ya bure tu kwisha...

Huko kwako UK hakuingiliki?
 
Poti haya mambo yana wenyewe. Kule kwetu lipo Lijoka Makengeza labda mpaka life au lichoke lenyewe. Lina hela balaa na sasa limejenga kiwanda cha mikate wananzengo wakipewa mikate ya bure tu kwisha...

Huko kwako UK hakuingiliki?
Hizi Siasa zina wenyewe poti. Acha wazifanye wenyewe wanaozipenda, huko UK nasikia kuna wagombea kibao; waache tu watoane ngeu huko. Mimi nakomaa na kazi yangu ya kuponda kokoto hapa. 😅 😅
 
Utamuweza Mzee Eng. P. Chiiza?

Hapo kakonko Mzee bilago ndiyo alifiti
Mungu amrehemu.
 
Huyu jamaa kuna siri kubwa nyuma ya pazia.Huyu Jamaa CCM hakuingia kwa hiari.Inaonekana hakuwa na chaguo jingine zaidi ya kujiunga CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…