Ninampenda kweli huyu mwanaume

nae mpe tu kieleweke asije akakuoa akaanza kusema, ''ulikua unabana mi nilijua bikira bwana kumbe ovyo''
 
Yote yanawezekana Smile
Unaweza kumgea tunda akakupenda zaidi
Au akakupenda kawaida ..
Au akakuta matarajio aliyokuwa akitegemea hayako vile akakata kona
...........
 
Yote yanawezekana Smile
Unaweza kumgea tunda akakupenda zaidi
Au akakupenda kawaida ..
Au akakuta matarajio aliyokuwa akitegemea hayako vile akakata kona
...........
kweli ma dear nikiwaza hayo yote akili inastack kabisa
nashindwa la kufanya
 
Ondoa mawazo kuwa atakuacha, mawazo huwa yanaumba. Kuwa positive and Jiachie...
 
????????????????????
 
uzuri kitu yangu inalipa

Hahaha..... inalipa mpaka mwenyewe wajua duh hiyo kali, mi nilidhani mtumiaji ndiye anayeweza jua kuliko mtumiwa.

Any way in today world it`s real a challenge, vijana mpaka wamegane ndiyo mapenzi yanakwenda but kwanini msi officiate relation yenu kwa kwenda kwa wazazi kabisa posa ikiwezekana na mali itolewe baada ya hapo kuleni vitu vyenu kwa raha zenu wenyewe
 
wanaume ni noma kaka watu wanaachwa siku ya harusi saloon mbona?
 
Hivi kutosex na mtu ndo sababu akuache?? Aaah labda kama hana nia na wewe! Giving you two options, either SEX or you BREAK UP........hicho ni kiburi cha uzima and I can't buy it anymore! Kwanini angandie kwenye sex na sio mipango ya ndoa?? Aren't they important to you as a focused couple??
 
Achana na huyo na wengine wote humu watakupotezea muda. Ka vipi karibu kwangu unaweza kuwa mke wa tatu kwangu au kimada wa 2 the choice is yours. Either way you are wellcome.
 
wanaume ni noma kaka watu wanaachwa siku ya harusi saloon mbona?

Mtu aliyekuvumulia miezi saba, he mighty be a husband material kwa 50% hivi, otherwise utapata shida sana kumwamini mtu anaitwa mwanaume. In fact kwenye mapenzi tunatake risk, you can not be 100% sure kwamba huyu ndiye mr. perfect wako weakness utazikuta tu kibao.

Kwani wewe huwezi mtosa jamaa madhabahuni siku ya harusi, it can happen both ways, ndiyo sababu kuna matumaini bila hivyo maisha yangekuwa hayaendi dada
 
hamna namna lazima umpe mzigo . shauri yako ukizubaa anakuachia manyoya. :flame:
 
daaaah kazi kweli kweli wallah tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…