Zanta
JF-Expert Member
- Apr 4, 2011
- 2,028
- 796
uzuri kitu yangu inalipa
Mweeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uzuri kitu yangu inalipa
ivi unajuaje kama inalipa? kwa kuambiwa au kwa kufanya nini?Hehehe! Inalipa ukaachwa? Jichunguze vizuri.
Sijui bana, mwulize aliyesema!ivi unajuaje kama inalipa? kwa kuambiwa au kwa kufanya nini?
kweli ma dear nikiwaza hayo yote akili inastack kabisaYote yanawezekana Smile
Unaweza kumgea tunda akakupenda zaidi
Au akakupenda kawaida ..
Au akakuta matarajio aliyokuwa akitegemea hayako vile akakata kona
...........
Hahaha. Jibu swali la Zanta hapo juu.haya bwana.lakini ndo ukweli soo swiit
????????????????????the next best thing that men look for after your physical appearance, moral behavior, glamor, is...
The quality of your womanhood, I mean your vagina. He asks himself, will i live with this... For better for worse, happiness and sickness until death do us part? If the answer is YES! Then the man is YOURS no matter what. I mean no matter what. So think about that ladies
Mweeee
uzuri kitu yangu inalipa
wanaume ni noma kaka watu wanaachwa siku ya harusi saloon mbona?Hahaha..... inalipa mpaka mwenyewe wajua duh hiyo kali, mi nilidhani mtumiaji ndiye anayeweza jua kuliko mtumiwa.
Any way in today world it`s real a challenge, vijana mpaka wamegane ndiyo mapenzi yanakwenda but kwanini msi officiate relation yenu kwa kwenda kwa wazazi kabisa posa ikiwezekana na mali itolewe baada ya hapo kuleni vitu vyenu kwa raha zenu wenyewe
wanaume ni noma kaka watu wanaachwa siku ya harusi saloon mbona?
daaaah kazi kweli kweli wallah tenaMtu aliyekuvumulia miezi saba, he mighty be a husband material kwa 50% hivi, otherwise utapata shida sana kumwamini mtu anaitwa mwanaume. In fact kwenye mapenzi tunatake risk, you can not be 100% sure kwamba huyu ndiye mr. perfect wako weakness utazikuta tu kibao.
Kwani wewe huwezi mtosa jamaa madhabahuni siku ya harusi, it can happen both ways, ndiyo sababu kuna matumaini bila hivyo maisha yangekuwa hayaendi dada
Ondoa mawazo kuwa atakuacha, mawazo huwa yanaumba. Kuwa positive and Jiachie...