Ninampenda kweli huyu mwanaume

mmlaumu MUNGU aliyekupa damu baridi

Mi nadhani huyo mwanaume ndiye mwenye damu baridi. Hakuna mwanamke anayeweza kuresist kwa mwanaume anayeyajua mapenzi, as long as alishakubali kuitwa mpenzi wake...
 

Kweli kabisa swahiba, mwisho wa siku yeye ndie anaeujua vizuri uhusiano wao na mchuchu wake! Btw.....huku kwetu ni well and good, labda nikuulize weye habari za nitonye!
 
Mi nadhani huyo mwanaume ndiye mwenye damu baridi. Hakuna mwanamke anayeweza kuresist kwa mwanaume anayeyajua mapenzi, as long as alishakubali kuitwa mpenzi wake...
smile atakuwa na mwili baridi ndio maana anaogopa akisex jamaa atakula kona.
Naturally hamna mwanaume anayekataa offer ya sex asilani
 
Ukishatendwa unakua hujiamini na hauwaamini wengine,jitahidi kusahau yaliyopita na usonge mbele mambo ya jana yasikuamulie mambo ya leo.Mimi ni mhanga kama wewe lakini nimejifunza kuwakubali mabinti kama walivyo!Kuhusu kusex,hilo ni jambo la mtu binafsi alivyoamulia kulichukulia,tumia akili hapo!
 

Nahisi unaficha 'apple' lako, je linashida? Maanake yule wa kwanza alikula kona na huyu unaogopa naye atakula kona. We mpe hilo 'apple' ale halafu ataamua kwani 'kipenda roho kula nyama mbichi'!
 
Listen to your heart and do what your heart tells you to do.

Simple.
 
Mi nadhani huyo mwanaume ndiye mwenye damu baridi. Hakuna mwanamke anayeweza kuresist kwa mwanaume anayeyajua mapenzi, as long as alishakubali kuitwa mpenzi wake...

Siku zote kuni ya akiba huicheka inayoungua!
 
Reactions: Mbu

Hayo ni majaaliwa yako hivyo usijihini kile unachotaka! Mpe tu na litakalotokea na liwe.

Inakuwaje unasema kuwa unampenda mtu huku humuamini? Nilidhani ulishapima kila kitu ndio ukaamuwa kumpenda? Inavyoonesha wewe ni kuwa unamtamani huyo mwanamme hivyo timiza hamu yako.
 
Smile sasa ile gari na nyumba nizifanye nini mimi iwapo unaamuwa kwenda kwa usiemwamini? Ama kweli penye miti.........
 
kama unampenda Mpe mzigo usimbanie usiogope kuachana sababu ipo siku utampata mwingine utayempenda zaidi ya huyo bwana.
 

hapa hata mimi hujanishawishi ni officiate ntajuaje yeye kweli mwanamke bana ujue kwa wa kristu ndoa ni mara moja yaani ukipata famba mpaka unakufa huna jinsi ukiamua kutoka nje unazini!
 
hapa ngoja nikuambie tu ukweli tu.....

1.JIFUNZE KUONDOKANA NA HIYO HALI YA UNEGATIVITY NA FEAR OF REJECTION.(Reason;itakufanya uwemtumwa na kushindwa kufurahia maisha)

2.MPAKA HAPO NAONA UMESHAUCOMPROMISE UHUSIANO WAKO FULLY (Reason; hapo kuna conflict of interest ambayo imeshajionyesha wazi ,umeshagawa kabla why not now na kwake,miezi 7 without making sex kwa mwanaume ni ngumu labda kama ni kukaa bila kumake love ndiyo inawezekana)

3.KUMNYIMA MTU SEX AU KUMPAA SIYO GURANTEE YA KUMZUIA MTU ASIKUACHE AU AENDELEE KUWA NA UHUSIANO NA WEWE(Reason;sex ipo tu ,na unaweza hata kuifanya na mtu ambaye hampendani na maisha yakasonga)

4.HLF SAIV UNAONEKANA KUTOKUJALI SANA ABOUT SEX ,hata kudiriki kusema km mumeo atakuwa ana underperfom utamvumilia.....HAPA NI BIG NO ,SEX IN LIFE/RELATIONSHIP/MARRIAGE MATTERS ALOT ESPECIALLY KWA WANAWAKE(Reason;WOMEN LIKE MORE TO MAKE SEX THAN MEN (BUT ONLY WOMEN WANT/NEED GOOD SEX) ), to me IT SEEMS HUJAIPATA VIZURI HIYO KITU,UKAIELEWA UTAMU WAKE.
 
Kiujumla wanawake wengi wanapenda kutumia body zao kama bargaining chip, wengi wanaona kama vile kutoa mzigo ni kama favour kwa mwanaume, wengi wanaona kama vile wanakuwa wana power kwenye mahusiano kwa kubana kutoa mzigo baada ya kuwa kwa muda mrefu huku jamaa wengi wa karibu wanakuwa wameshajua mahusiano yanayoendelea, yaani inakuwa kama relationship security fulani hivi. La muhimu ni kwa wanawake kujiamini, na kutohisi kutumika baada ya kukutana kimwili. yaani isiwe mtu anatembea akili yake yote ipo kujihami dhidi ya mtu ambaye yuko naye kwenye mahusiano. Hii inaishia kuongeza gharama kwa mwanaume kutafuta sehemu ya kuzipunguza na kupoteza muda na akili kwenye mahusiano kuliko kufanya mambo ya kuleta maendeleo.

Pia kwa kusoma baadhi ya michango ni kwamba, wanawake wanaobania kutoa mzigo ilhali walishatoa huko nyuma wanaweza kuwa hawajiamini, pia inaweza kuwa womanhoods zao si za kuridhisha.
 
Smile kwanza ni kweli huishi vituko, hiyo siyo hoja ya kubishaniwa.

Ok, nimejitahidi sanakufuatilia uzi na kugundua machache,

1.0 Hujaweka wazi msimamo wa jamaa kama anataka kukuoa au hataki? Halafu sijaona sehemu yoyote katika post yako ukionyesha kama umepropose ndoa na jamaa akareject zaidi ya kuonyesha jamaa kaomba mzigo na wewe bado humuamini kama ukimpa atasepa au la?

Kwa mantiki hiyo bado nina mashaka na wewe kama unahitaji ndoa au unahitaji mtu wa mahusiano lakini ambaye hatakuumiza.

2.0 Aidha umejisifia kuwa kitu ni OG, inalipa n.k Kwangu huu nauona ni uzushi kwani huwezi kujisifia mwenyewe zaidi ya kusifiwa hasa na mtumiaji. Mpaka hapo hujatupa list ya nyuma kama ulishawahi kuwa na mahusiano yoyote zaidi ya huyo jamaa aliyekuwa mpenzi wako kisha akakuacha. Ingefaa ukatoa ili kufanya comparisons ya hao wa nyuma kama walikuwepo, huyo wa kati aliyekuacha na huyu wa mwisho kwa nini hapati tunda?

Majibu mengi na mazuri yangetoka kwao kwa nini walikuacha hasa huyu ambaye ulimpa na kukuumiza kwa kukuacha. Unaweza kuta hao jamaa labda malalamiko yao yanafanana labda kitu haivuti, hujitumi mamaa, hujui kumpokea mwanaume n.k lakini simananishi upo hivyo.

3.0 Unajua wanaume hawaachi wanawake only for the sake of ngono. Totaly No. Mwanaume anaweza kukufuatilia kwa muda mrefu sana lakini pindi mahusiano yenu yakifikia kuwa wapenzi basi mtu huanza kufanya integration of other factors apart from sex hasa kama lengo lake si kufurahia kukumega kwa siku moja moja.

Akigundua hakuna combination nzuri baina ya other factors na sex relation basi gap hiyo ndiyo inayoweza kuunda kuachwa. Ngoja ni clarify. Hebu fikiria mwanamke mzuri lakini na keshatoa penzi na mwanaume anagundua labda uelewa wake wa mahusiano anaona umeisha kwenye ngono tu, anaweza kuona hutamfaa mbeleni. Mfano mwanamke anatakiwa aonyeshe akiolewa suala la kupenda ndugu siyo shida na halitakwa shida. Other complications hasa life style, kuna wengine ni wanawake wa kutumia na jamaa in future anahisi hataweza kumantane.

Kwa hiyo zipo sababu nyingi sana zinazopelekea kuachwa nje ya kutompa mpenzi wako ngono, na ndiyo maana wanandoa wanatengana au wapenzi licha ya kupeana tunda.

4.0 Katika maisha hakuna hedging ya 100%, namananisha eti useme fulani nikimpa hataniacha na fulani ataniacha. Tunachofanya kuwa marisk taker. Kinachotufanya tukubali au tuache ni peace of mind. Ikiwa katika kipindi hicho chote hujaonyesha wasiwasi wa kama si mwaminifu basi ana haki ya kupewa hiyo kitu. Kwa nini?

Kiukweli ulimwengu wa sasa umetofautiana sana na ule wa kale, zamani wanawake walikuwa wanjisitiri sana na hata utamaduni wetu ulipewa heshima. Lakini siku hizi hali imetofautina na kuunda hali ya matamanio kuwa kubwa sana.

Sasa, katika mahusiano kuwa na mpenzi halafu hamna ngono ni kama KUWA NA MWAVULI KATIKA MVUA KISHA MWAVULI HUO HAUKUNJUKI INA MAANA HAUNA MSAADA WA KUTOKUKUFANYA USILOWE. Ni kweli, kwa nini nikutongoze wewe kisha niishie kutaka kutembea na wanawake wengine wakati wewe upo? Endapo nitafanya hivyo moja kwa moja nitakuwa nimeunda dharau kwako hata kama usipojua.

Jamani yapo mengi ya kujadili lakini suala la kuuliza mtu eti nimpe au nisimpe hilo kwangu haliniingii akilini, nadhani huja automatically hasa mhusika anapotimia akili kwa kuona hakuna viashiria vibaya siku za usoni.

Kwa mantiki hiyo kumnyima jamaa niliyoiita haki yake katika poluted environment si haki, hiyo ni kwa maono yangu.

Pls Smile take few minutes to smile on this post.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…