Ninampenda Miss Natafuta

nimeshangaa tu shosti wangu video zenyewe hazirushwi
ila shunie nimewaza kuna watu huku jf sijui wana maisha gani.watu wengine wapo serias huku eti . eti watu wanarushiana viclip huko pm .ahaaaa jf hii au kuna nyingine jamani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hii ndio jf we achana na hizo mambo kama haujafanya kuna jf nyingine huko nasikia kwenye magroup ya whatsapp
 
sitaki tena mkuu. nitafanya mambo mengine sasa
pole sana kwa yaliyokukuta MISS NATAFUTWA..
bila shaka yatapoa tu wala usijali..

lakini ukipata yai bovu siku nyingine ni kusema uwe makini kuchagua zuri zaidi ya lile..
lakini usiseme sili tena mayai..nooo miss natt
 


Wewe kichaa alafu unataka taja Mungu ni Mungu yupi unamtaja taja??? Acha kumuingiza Mungu kwenye mambo ya kijinga.
 
hata katika kutusi unastaha namna hii...
lakini angekuwa mtu hajielewi nadhani angetoa tusi tusi la uchi bila kificho......

sasa naanzaje kujizuia kwa mtu wa namna hii
[emoji2] [emoji2] [emoji2] msela umeamua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…