Ninamuunga mkono Lema kwa kauli yake kuhusu utalii.

Ninamuunga mkono Lema kwa kauli yake kuhusu utalii.

Matongee

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2023
Posts
1,056
Reaction score
2,729
Bongo ina vivutio vingi sana ila inashangaza kila siku ni Ngorongoro, Serengeti, Kilimanjaro na Zanzibar. Kule Ziwa Tanganyika kuna Lupita Island ambacho ni kivutio kikubwa kwa wazungu ingawa ni kama vile wazungu waliokinunua wanajifanyia tu mambo yao. Kuna Kalambo falls. Lema kaongea point. Hii kujenga mahoteli hifadhini ni kero kubwa sana kwa wanyamapori na mazingira kwa ujumla. Hotel zote zijengwe Karatu na maeneo mengine nje ya hifadhi. Karatu kuna hotel nyingi za nyota tano na tatu lakini hata Airstrip uchwara hakuna. Ile Airport ya Chato ingewekwa Karatu ingesaidia sana.


View: https://www.instagram.com/reel/C_BUDBatIiz/?igsh=amxqeTNoNXdyOTZ1
 
Mngekuwa waArabu mngekataa wafalme kujenga mahoteli jangwani.
 
Back
Top Bottom