Ninamzidi umri baba mkwe na mama mkwe. Je, hii ni sawa?

Joined
Dec 11, 2024
Posts
94
Reaction score
240
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.

Binti yao huyu Ana 20.

Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.

Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.

Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao bado wanazaa.
 
Mzee wa familia wewe hakikisha familia zima ipo salama.
 
weee oa tuuu mzee cha msingi ufahamu majukumu yako................................................................................. mbona reginald mengi alimuona mwanamke mithiri ya mjukuu wake tuuu..................
 
Raha ya mke umzidi miaka Kati ya 5 au 7 hii inasaidia kuweza kutegemeana,hata mkionana tupu zenu ile aibu ya moja Kwa moja inakuwa haipo.

Binafsi siwezi kutembea na mtoto niliyemzidi umri parefu,Kwanza mtoto wa miaka 20 anawezaje kuona utupu wangu
 
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.

Binti yao huyu Ana 20.

Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.

Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.

Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao bado wanazaa.
Hao wakwe zako watakuwa walikatisha masomo, by the way unawapa shikamoo yao?
 
Raha ya mke umzidi miaka Kati ya 5 au 7 hii inasaidia kuweza kutegemeana,hata mkionana tupu zenu ile aibu ya moja Kwa moja inakuwa haipo.

Binafsi siwezi kutembea na mtoto niliyemzidi umri parefu,Kwanza mtoto wa miaka 20 anawezaje kuona utupu wangu
Utupu upi kati ya ulizo nazo ambao hastahili kuuona?
 
Raha ya mke umzidi miaka Kati ya 5 au 7 hii inasaidia kuweza kutegemeana,hata mkionana tupu zenu ile aibu ya moja Kwa moja inakuwa haipo.

Binafsi siwezi kutembea na mtoto niliyemzidi umri parefu,Kwanza mtoto wa miaka 20 anawezaje kuona utupu wangu
Baiolojia inasemaje kuhusu umri wa mwanamke kuingia menopause, ujumlishe na hiyo 20 uone kama vinakataana.

Nadhani ukisikia 'kuzeeka naye', ndiyo huko.

Huo ndiyo umri sahihi kabisa kimahesabu wa kuoana.
 
Back
Top Bottom