Ninamzidi umri baba mkwe na mama mkwe. Je, hii ni sawa?

Lakini ni common sana, wapo wagane wengi sana nchi wenye wakwe wa chini ya umri wao
 
Ila msipishane sana na wife zaidi ya 10 yrs. Miaka 20 ni mingi sana aisee.

Mtasumbuana huko mbele.
 
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.

Binti yao huyu Ana 20.

Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.

Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.

Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao bado wanazaa.
Ushauri tu.Jitahidi kuficha hisia zako pindi umetembelewa na Mama mkwe maana kama mnaendana
 
Miaka 20 mbona ni mshangazi kabisa huyo?

Mke wa kuoa ni 14 . Ukichelewa sana basi at least 16.

Anyways miaka 20 Sio mbaya sana
 
Hapo usimuwaze baba mkwe, huyo binti wa miaka 20 utamuweza? Kuanzia 23-26/28 wanakuwa na mihangaiko sana wanatamani kila aina ya maisha, curiosity ipo juu. Mpaka 27-31 na kuendelea ndo utu uzima unamvaa na kukubali uhalisia wa maisha.
 
Unawazungumziaje
  1. Ibrahim aliyemdunga kijakazi?
  2. Suleiman aliyefungua 1000 pages?
  3. Daudi aliyepokezana pumzi na mke wa Uria?
Sasa huyo mwanao una amua kumkojolea huoni jamii inakutazama Kwa fikra tofauti.
Utofauti wa nusu ya miaka Yako
 
kwahiyo wakwezako wamezaliwa baada ya wewe kuoa Binti Yao ...aise

kama aliyeolewa Hana SHIDA na mgegedo wako,hao wazee wamekukosea nn
mkwe acha dharau bint yetu kakushinda turudishie....punguza mdomo
 
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.

Binti yao huyu Ana 20.

Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.

Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.

Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao bado wanazaa.

Sasa hapo wewe unaona kuna tatizo gani? Nilidhani mke yuko chini ya umri wa kuolewa. Hujawahi kusikia mzee ana miaka 70 anaoa binti wa miaka 25? Unaamini kuwa binti wa miaka 25 lazima wazazi wake wawili wawe na miaka 94?
Acha utoto.
Hapo unajihisi umefanikiwa uko mjini kwakuwa umeoa binti yao mdogo na wewe ni mkubwa kwao, mpaka unatukana familia zote za Kiafrika eti zimekaa kimkakati. Haya wewe bingwa bana.
 
Kama mmependana na wazazi wameridhia oa tu. Ila weka akilini nguo ya zamani haiwekwi kilaka kipya.
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.

Binti yao huyu Ana 20.

Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.

Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.

Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao bado wanazaa.
 
Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.

Binti yao huyu Ana 20.

Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.

Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.

Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao bado wanazaa.
Kwani haiingii?
 
imeshakuwa kawaida kuoa binti ambaye wazazi wake umewazidi umri. Ila ipo changamoto kama mama binti atakutamani, huwa wanasema mzee wako ni saizi yangu. Mama mkwe naye hutaka kula sahani moja na binti yake, hukosa adabu kwa mkwe mwana wake
 
Back
Top Bottom