Nawashukuru Sana
Member
- Dec 11, 2024
- 94
- 240
Mzee wa familia wewe hakikisha familia zima ipo salama.Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.
Binti yao huyu Ana 20.
Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.
Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.
Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao bado wanazaa.
Kuwa mkweli mkuu. 40 anaweza kuwa na mjukuu mwenye 20?Mwenye kosa ni wewe ndiye tunapaswa tukushangae unaoaje mwanamke mwenye umri wa mjukuu wako?!!!
Hao wakwe zako watakuwa walikatisha masomo, by the way unawapa shikamoo yao?Wakuu Nina miaka sasa 40 Ila mama mkwe Ana 36 na Baba mkwe Ana 38.
Binti yao huyu Ana 20.
Wakuu familia za kiafrica zimekaa kimkakati Sana.
Asilimia kubwa ya watu ambao wamekulia kijijini na hawakusoma wengi ndo hali IPO hivi.
Vijana wa miaka 38-40 tayari wana watoto wa kuolewa huku na wao bado wanazaa.
Hiyo 40 Kazuga jiongeze na wewe sio kila kitu tukutafunie 😹Kuwa mkweli mkuu. 40 anaweza kuwa na mjukuu mwenye 20?
UnawazungumziajeWazinzi na waasherati hawato uona Uzima wa milele.
Utupu upi kati ya ulizo nazo ambao hastahili kuuona?Raha ya mke umzidi miaka Kati ya 5 au 7 hii inasaidia kuweza kutegemeana,hata mkionana tupu zenu ile aibu ya moja Kwa moja inakuwa haipo.
Binafsi siwezi kutembea na mtoto niliyemzidi umri parefu,Kwanza mtoto wa miaka 20 anawezaje kuona utupu wangu
Wakati Labella , Nifah Miss Natafuta wapoMwenye kosa ni wewe ndiye tunapaswa tukushangae unaoaje mwanamke mwenye umri wa mjukuu wako?!!!
Baiolojia inasemaje kuhusu umri wa mwanamke kuingia menopause, ujumlishe na hiyo 20 uone kama vinakataana.Raha ya mke umzidi miaka Kati ya 5 au 7 hii inasaidia kuweza kutegemeana,hata mkionana tupu zenu ile aibu ya moja Kwa moja inakuwa haipo.
Binafsi siwezi kutembea na mtoto niliyemzidi umri parefu,Kwanza mtoto wa miaka 20 anawezaje kuona utupu wangu
Hata sisi bado ni km watoto zake, yeye atafute mzee mwenzie tu 😹