T Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 3,506 Reaction score 6,305 Jan 3, 2025 #41 Baba mkwe wako na ma mkwe wawe wanakusalimia
M mhogoz JF-Expert Member Joined Oct 16, 2021 Posts 739 Reaction score 1,195 Jan 3, 2025 #42 Akuna tatizo kikubwa epuka mama mkwe kukutembelea sana karm is bitch
Zemanda JF-Expert Member Joined Jan 10, 2021 Posts 8,323 Reaction score 18,051 Jan 3, 2025 #43 Mzee huyo ni mjukuu wako. Kama umewazidi umri wazazi wake ina maana hapo hakutakuwa na balance nzuri. Hebu nenda katafute shangazi la miaka 35 hapo mfunge ndoa.
Mzee huyo ni mjukuu wako. Kama umewazidi umri wazazi wake ina maana hapo hakutakuwa na balance nzuri. Hebu nenda katafute shangazi la miaka 35 hapo mfunge ndoa.
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 10,406 Reaction score 19,892 Jan 3, 2025 #44 Mimi nina kashemeji kangu kana miaka mitano,dada ake ninaemgonga ana miaka 22 now.wazazi wake wana baba miaka 41 mama 37.
Mimi nina kashemeji kangu kana miaka mitano,dada ake ninaemgonga ana miaka 22 now.wazazi wake wana baba miaka 41 mama 37.
S SIPIYU30 JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 1,751 Reaction score 2,437 Jan 3, 2025 #45 Nyaubikra said: Wazinzi na waasherati hawato uona Uzima wa milele. Click to expand... Punguza hasira
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Jan 3, 2025 #46 Hatari sasa wakwe watakua wanakuamkia weweπππ au mtakua mnaitana Kaka,dada ππ Wakwe wakigombana wanakuja kuomba ushauri kwako maana wewe ni mkubwa,Cha msingi uwe na hela.
Hatari sasa wakwe watakua wanakuamkia weweπππ au mtakua mnaitana Kaka,dada ππ Wakwe wakigombana wanakuja kuomba ushauri kwako maana wewe ni mkubwa,Cha msingi uwe na hela.
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 5,879 Reaction score 11,318 Jan 3, 2025 #47 Vishu Mtata said: Ila msipishane sana na wife zaidi ya 10 yrs. Miaka 20 ni mingi sana aisee. Mtasumbuana huko mbele. Click to expand... Yaan cha mkeo kinawasha chako kimepoaaa
Vishu Mtata said: Ila msipishane sana na wife zaidi ya 10 yrs. Miaka 20 ni mingi sana aisee. Mtasumbuana huko mbele. Click to expand... Yaan cha mkeo kinawasha chako kimepoaaa
Labella JF-Expert Member Joined Jun 26, 2024 Posts 1,949 Reaction score 4,759 Jan 3, 2025 #48 Tate Mkuu said: Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa! Age is just a number, ok? Click to expand... Km namba kwann asioe mke mwenye miaka 60??
Tate Mkuu said: Huu ni ubaguzi wa wazi kabisa! Age is just a number, ok? Click to expand... Km namba kwann asioe mke mwenye miaka 60??