Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
-
- #121
Tunafahaamiana mkuu huwa haisumbuiKaka Kuna watu wanatatizo la mdomo kutofunga Sasa kwa picha hizi tegemea kuona wamekomenti maneno yasyoeleweka maana mate yatajaa kwenye screen za simu zao
Binafisi huwa naona pilau haina u special wowote ule. Pia sio mdau wake. sina sababu nyingine na ahsante kwa jawabu lakoNdio pilau haifanani na wali mweupe na kwakuwa sikukuu ni siku special lazima tupike pilau,otherwise una sababu zako zingine
Huku nguo mpya sio watoto tu hadi wanawake na baadhi ya wanaume hushona sare za vitenge na wake zao.Ndio maana hata watoto huvaa nguo mpya,na wanajua kua siku ya sikukuu lazima wavae nguo mpya.
We sababu kubwa ni kwamba hupendi pilau hilo tu,kama ungekuwa mdau basi usingeulizaBinafisi huwa naona pilau haina u special wowote ule. Pia sio mdau wake. sina sababu nyingine na ahsante kwa jawabu lako
Kuna vitu vyingi tu sipendi wala sio pilau tu swali langu ni kipi chaa maana zaidi hadi pilau iwe special siku za sikukuu ama sherehe? ndio maana nikasema hata ukisema labda viungo vyake ni ghali sana jibu ni hamna tofauti yake ni ndogo tu na wali wa kawaida kiasi kwamba mtu akiamua siku yoyote ile anapika lakini kuwa maaalumu siku ya sikukuu tu ndo huwa najiuliza sana.We sababu kubwa ni kwamba hupendi pilau hilo tu,kama ungekuwa mdau basi usingeuliza
Watoto wako si wanapenda lakini?