Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #101
Lakini siku ya sikukuu lazima watapika tenaSisi wenginee pilau daily
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini siku ya sikukuu lazima watapika tenaSisi wenginee pilau daily
haahahaaNi utamaduni kama vile wasabato wanavyokula makande kila Jumamosi.
Tena kupangiana mkuuPilau ni tamu, lkn sio kwa kula siku zote, sasa ili utamu uwe utamu kolea, ndo wahenga wakasema liwe linapikwa sikukuu.
Tena ikiwezekana itungwe sheria ya lishe itakayo piga marufuku kupika pilau kama hakuna sikukuu au sherehe.
Hasa hawa mama lishe wanaharibu sana maana na heshima ya pilau.
Nafufuka ktoa pingamiziUkifa mke wako ataolewa na hakuna kitu utafanya...
Sijakuelewa mkuuJapo wengi mnatamani, ila humo kuna mate, kamasi, nyewle, vinyesi, n,k kiwe kimeandaliwa nyumbani au kwenye restaurant, n.k.
Sisi wabongo ni wachafu sana na hatuna kinyaa japo kimavazi unaweza kuona ni wasafi.
Mtanisamehe.
Unazungumzia vyombo vipi labda maana vyombo vipo na vyakutosha kabisa.Hata kama kulizungusha mbona vyombo vya kulizungushia vipo vizuri tu
Embu ongea na wife mwanamke vyombo
Hii nzurisiku hiz imeanza kuwa destur Kila jumapili ni pilau kwawatu walio wengi sio had sikukuu tena
Siyo kweli. ukiingia ndani saana haya ni mautundu tu ya upishi mkuu hayo makolobwezo uyasemayo ni utundu tu.Pilau linahutaji maandalizi mengi kidogo tofauti na wali, pia pilau mwenzake nyama.
Unaposema pilau linatofautian na wali mweupe kwa buku 2 sio kweli jombaa
Pilau la sikukuu lina vikorombwezo vingi ambavyo kuviandaa kwa siku ya kawaida inakubidi utenge muda mwingi kwa kazi hiyo tu.
Vikorombwezo vinavyoendana na pilau kama kachumbari, chachandu, juice /soda ndivyo nilivyomaanishaSiyo kweli. ukiingia ndani saana haya ni mautundu tu ya upishi mkuu hayo makolobwezo uyasemayo ni utundu tu.
Hata wali wapo wanaopika kwa mbwembwe mno hadi unaogopa yaani utofauti inakuwa ile rangi tu (palau masala )
kama ukibisha tuweke mahitaji hapa ya pilau na wali hapa nami ni mpishi kwa level yangu najua abc
Sikukaribishi tena kwangu, kumbe ulikuwa unapiga picha pilau letu. Yote haya ni majanga ya CCM.Ukifa halafu ukafufuka na ukakuta Kuna pilau basi akili itakutuma kuwa Leo Kuna sikukuu au sherehe Fulani kubwa.
Ukipiga mahitaji ya pilau na ya wali hakika ongezeko lake halizidi buku2-3 Hivi.
Zaidi ya yote kwenye biblia sijawahi ona kama imeandikwa kuwa kwenye sikukuu pikeni pilau.
Kule Kwa wenzetu wao huita Cha mtume labda imeandikwa Sina hakika.
Leo ni mwaka mpya hapa home Nina madogo karibia Watoto wote wa majirani Huwa wanacheza karibu na nyumba yangu na Leo walikuwa wanatambiana kuwa wamepika pilau na nyama ya kuku mwingine akasema wao pilau na maini kia mtoto alimtambia mwenzake kile kilichopikwa na dhahiri pilau ilitajwa.
Nimejiuliza siku nyingi Kuna ulazima Gani wa pilau kupikwa siku ya sikukuu tu. Pilau Ina maajabu gani Hadi iwe special kiasi hiki?
Wanawake naombeni majawabu maana hata kwangu Kila sikukuu lazima pilau iwepo licha ya kuwa Mimi sio mshabiki wa chakula hiki.
Hata humu jf 96% watu wamekula pilau ama majirani zao wamekula pilau.
Ebu Leo niambieni upekee wa pilau wakuu.
View attachment 3190042
Hivyo ni ziada tu hata jkwenye wali unaweza weka mkuu. kifupi mapishi yanatofautiana sana kati mtu na mtu na jamii hii kwa jamii nyingine. wee angalia samaki anavyopikwa na wachina niliwahi ona clip moja viungo zaidi ya 17 kwenye mboga moja nayo ni samaki ....wale jamaa hapana wanaweka hadi na magome ya miti,mizizi na majani bado viungo vya kimiminika asee mchuzi unakuwa mweusi kama mkaaVikorombwezo vinavyoendana na pilau kama kachumbari, chachandu, juice /soda ndivyo nilivyomaanisha
Samahani mkuu. Lakini si nilificha sura yako?Sikukaribishi tena kwangu, kumbe ulikuwa unapiga picha pilau letu. Yote haya ni majanga ya CCM.
Hoja imekubalikaPilau ni tamu, lkn sio kwa kula siku zote, sasa ili utamu uwe utamu kolea, ndo wahenga wakasema liwe linapikwa sikukuu.
Tena ikiwezekana itungwe sheria ya lishe itakayo piga marufuku kupika pilau kama hakuna sikukuu au sherehe.
Hasa hawa mama lishe wanaharibu sana maana na heshima ya pilau.
Mi naongelea kikwetu kwetu mkuu , familia zetu hatuweki vikorombwezo vingi kwenye vyakula vya kila siku ila inapofika sikukuu sasa ndio vile vyote wanaweka sasa.Hivyo ni ziada tu hata jkwenye wali unaweza weka mkuu. kifupi mapishi yanatofautiana sana kati mtu na mtu na jamii hii kwa jamii nyingine. wee angalia samaki anavyopikwa na wachina niliwahi ona clip moja viungo zaidi ya 17 kwenye mboga moja nayo ni samaki ....wale jamaa hapana wanaweka hadi na magome ya miti,mizizi na majani bado viungo vya kimiminika asee mchuzi unakuwa mweusi kama mkaa
Hayo matakataka. Nyanya mbichi utadhani supu ya nyama iliyoungwa nyanyanatamani nidownload hilo diko 😭😭
Kaka Kuna watu wanatatizo la mdomo kutofunga Sasa kwa picha hizi tegemea kuona wamekomenti maneno yasyoeleweka maana mate yatajaa kwenye screen za simu zaoUkifa halafu ukafufuka na ukakuta Kuna pilau basi akili itakutuma kuwa Leo Kuna sikukuu au sherehe Fulani kubwa.