Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #61
Kwahiyo pilau lipo ki katiba zaidiNIlisikia Rais Mwinyi ndio aliiweka hii kwenye katiba miaka ya 80
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo pilau lipo ki katiba zaidiNIlisikia Rais Mwinyi ndio aliiweka hii kwenye katiba miaka ya 80
Uhakika100% kwanza Mimi Huwa navimbewa na kujaa ges ovyoWewe kama mimi tu, pilau silikubali. Wali nyama fresh
Hicho ni huko dar ...huwezi amini mi Nina miaka mingi sana sijala hiyo kitu Wala siwazi kama nitakuja kula tenaChakula kitamu ni chips kuku
Ni vyema na haki Watoto wazowshwe kumbe pilau ni chakula Cha kawaida tu.
Wabongo wengi mkuuNi nani anapika pilau ya siku kuu?
Wabongo wengi mkuu
Naam hii nzuri sana
Hicho ni chakula cha wadada haswa wa chuo, Kwa mimi naitafsiri chipsi kama mboga ya kulia ugali.Chakula kitamu ni chips kuku
Mbona wamekupa kijiko cha mtoto 😆!Nikiwa kama baba mwenye nyumba ya shemeji nimetoka kumaliza pilau na kuku hapa. Nasubiri baba mwenye nyumba ya shemeji alipie king'amuzi niangalie game ya Arsenal. Pilau tamu sana hasa lililopikwa na dada angu
Hapi nyuuu iya
Huyu mpuuzi umeme umekata amegoma kununua LUKU niko hapa watoto wananichezea masikio eti hawana cha kuchezea wangekua wanaangalia katuni muda huuShem kanunua bando la king'amuzi?
Ni huzuni tu mkuuMbona wamekupa kijiko cha mtoto 😆!
Ukifa halafu ukafufuka na ukakuta Kuna pilau basi akili itakutuma kuwa Leo Kuna sikukuu au sherehe Fulani kubwa.
Ukipiga mahitaji ya pilau na ya wali hakika ongezeko lake halizidi buku2-3 Hivi.
Zaidi ya yote kwenye biblia sijawahi ona kama imeandikwa kuwa kwenye sikukuu pikeni pilau.
Kule Kwa wenzetu wao huita Cha mtume labda imeandikwa Sina hakika.
Leo ni mwaka mpya hapa home Nina madogo karibia Watoto wote wa majirani Huwa wanacheza karibu na nyumba yangu na Leo walikuwa wanatambiana kuwa wamepika pilau na nyama ya kuku mwingine akasema wao pilau na maini kia mtoto alimtambia mwenzake kile kilichopikwa na dhahiri pilau ilitajwa.
Nimejiuliza siku nyingi Kuna ulazima Gani wa pilau kupikwa siku ya sikukuu tu. Pilau Ina maajabu gani Hadi iwe special kiasi hiki?
Wanawake naombeni majawabu maana hata kwangu Kila sikukuu lazima pilau iwepo licha ya kuwa Mimi sio mshabiki wa chakula hiki.
Hata humu jf 96% watu wamekula pilau ama majirani zao wamekula pilau.
Ebu Leo niambieni upekee wa pilau wakuu.
View attachment 3190042
Mke wako asiolewe kwa nini wakati wewe umeshakufa?Ukifa halafu ukafufuka na ukakuta Kuna pilau basi akili itakutuma kuwa Leo Kuna sikukuu au sherehe Fulani kubwa.
Ukipiga mahitaji ya pilau na ya wali hakika ongezeko lake halizidi buku2-3 Hivi.
Zaidi ya yote kwenye biblia sijawahi ona kama imeandikwa kuwa kwenye sikukuu pikeni pilau.
Kule Kwa wenzetu wao huita Cha mtume labda imeandikwa Sina hakika.
Leo ni mwaka mpya hapa home Nina madogo karibia Watoto wote wa majirani Huwa wanacheza karibu na nyumba yangu na Leo walikuwa wanatambiana kuwa wamepika pilau na nyama ya kuku mwingine akasema wao pilau na maini kia mtoto alimtambia mwenzake kile kilichopikwa na dhahiri pilau ilitajwa.
Nimejiuliza siku nyingi Kuna ulazima Gani wa pilau kupikwa siku ya sikukuu tu. Pilau Ina maajabu gani Hadi iwe special kiasi hiki?
Wanawake naombeni majawabu maana hata kwangu Kila sikukuu lazima pilau iwepo licha ya kuwa Mimi sio mshabiki wa chakula hiki.
Hata humu jf 96% watu wamekula pilau ama majirani zao wamekula pilau.
Ebu Leo niambieni upekee wa pilau wakuu.
View attachment 3190042
Mbona hujahoji kuhusu mke wa hayati mkapa uje uoe mke wangu?Mke wako asiolewe kwa nini wakati wewe umeshakufa?
HanivutiiiMbona hujahoji kuhusu mke wa hayati mkapa uje uoe mke wangu?
Vyombo vipo tu sisi hatuli kwenye plate mkuu Huwa tunalizungusha 😹😹😹Kama hizi picha ni zako basi mwambie mama watoto anunue vyombo.
MChuzi sasa 🙌🤔
Subiri wa kagame sasaHanivutiii
Yule kweli anavutia ata kibamia kinadindaSubiri wa kagame sasa