Daudi1
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 12,444
- 18,741
Hatari sanaEee mkuu.Sasa unakulaje wali pekee yake bila ugali?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sanaEee mkuu.Sasa unakulaje wali pekee yake bila ugali?
Kawaida sana mkuu.Hatari sana
Ndio. Hujafunzwa kwenu wewe? Unaanzaje kuchafukwa na mwanaume mwenzako ambaye hajajipata bado anabangaiza chini ya mwamvuli wa dada yakeAisee uchafukwe Kwa mwanaume mwenzio?
Mi nta deal na mkeoMbona wanawake wengi tu Hadi wanajiuza?
Shem kanunua bando la king'amuzi?Ndio. Hujafunzwa kwenu wewe? Unaanzaje kuchafukwa na mwanaume mwenzako ambaye hajajipata bado anabangaiza chini ya mwamvuli wa dada yake
Sawa mkuuNi mila Tu na desturi. Waingereza siku ya Christmas lazima wale bata mzinga. Pasaka Easter eggs.
Karibia miji yote Leo pilau. Kila upitako pilau inanukia tuPilau ni muhimu Sikukuu
Mimi wafanye Yao yote lakini ugali na wali mweupe ni lazima kwanguMimi baada ya kuwa na kwangu mawali nimeshaachana nayo siku za sikukuu
Sahv naweza piga ugali na nyama ya kukaanga
Au chips kavu na nyama ya kukaanga na kachumbar na chachandu
Wewe wasemaKama unapenda kuoa mke wa marehemu kaanze na mke wa mkapa basi mkuu
Wewe kama mimi tu, pilau silikubali. Wali nyama freshItakuwa waislamu waliiga kwa waarabu, halafu wakristo tukaiga kwa waislamu, ikawa taratibu ya kila mtu
sema mimi binafsi sipendi pilau, bora wali nyama
Hakika mkuuInategemea mkuu, kijijini kwetu wali nyama tu ndo vinatamba siku za sikukuu, mambo ya pilau sijui tambi ni kwa wachache sana.
Anyway ni maamuzi tu ya mtu na hali aliyonayo, kwa mfano kama una familia wakat mwingine unafanya hivyo kuwafanya watoto wasikae kinyonge, ila binafsi unaona hata ugali maharage fresh
Mm nipo peke yangu nimepika ugali mayai, na hakuna mshipa wa fahamu ulioshtuka