Ninani basi aliyewaambia wabongo pilau lazima ipikwe siku ya sikukuu?

Ninani basi aliyewaambia wabongo pilau lazima ipikwe siku ya sikukuu?

tuwe tunaribishana basi sio kwa kututia majaribuni

Sikukuu mwenzake pilau, huwezi sema sikukuu halafu pilau hamna hiyo sio siku kuu, kwenye Bibilia hamna pilau ila sikukuu walikula nyama ya kuchoma na mikate ndio kulikuwa chakula chao maalumu siku ya sikukuu
Mkuu Mimi pilau ni basi tu Kwa vile inakuwa imepikwa nitakula lakini haiuziidi wali mweupe(kawaida) halafu kuweka na nyama ya kuku kienyeji pure kabisaa asee
 
Nikiwa kama baba mwenye nyumba ya shemeji nimetoka kumaliza pilau na kuku hapa. Nasubiri baba mwenye nyumba ya shemeji alipie king'amuzi niangalie game ya Arsenal. Pilau tamu sana hasa lililopikwa na dada angu

Hapi nyuuu iya
 
Attachments

  • 20250101_162727.jpg
    20250101_162727.jpg
    1.1 MB · Views: 2
Nikiwa kama baba mwenye nyumba ya shemeji nimetoka kumaliza pilau na kuku hapa. Nasubiri baba mwenye nyumba ya shemeji alipie king'amuzi niangalie game ya Arsenal. Pilau tamu sana hasa lililopikwa na dada angu

Hapi nyuuu iya
Kwahiyo unaishi Kwa shemeji mkuu? Vipi Shem akichafukwa?
 
Back
Top Bottom