Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kinachokupa mchecheto , wasi wasi, na lundo a mawazo nini haswa maana naona ni kama tu umekanganyika!Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu Cha Katiba ya Zanzibar kinachosema " Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno " inatokana " na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?!
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Hatuzungumzii kumpinga bali kuchochea UKAWALabda Mamluki Jussa, lakini Othman hajawahi kumpinga Lissu
Sasa Lisu analia Lia nini Mheshimiwa?Kinachokupa mchecheto , wasi wasi, na lundo a mawazo nini haswa maana naona ni kama tu umekanganyika!
Wazanzibari ni wazanzibari, wana kwao.
Tanganyika ni Tanganyika , nasi tupo vizuri tu!
HAMNA MUUNGANO HAPO, WHERE IS TANGANYIKAMajibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu Cha Katiba ya Zanzibar kinachosema " Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno " inatokana " na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?!
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Zitto Kabwe yuko serikalini Zanzibar ujue 🐼Huo muungano ni wa viongozi wa ccm wao. Hauna chochote cha maana kwa wananchi wa kawaida
Yeye kauzia chama wapembaZitto Kabwe yuko serikalini Zanzibar ujue 🐼
Mwache Lissu alie na kilio chake na machozi ya CHADEMA!Sasa Lisu analia Lia nini Mheshimiwa?
kwani alikuwa mwenyekiti wa chama ambacho ndiyo chenye uamuzi wa mwisho? Hebu tueleweshe kidogo..mkishindwa hoja mnadai mmetukanwa.🤣
..kwa muda mrefu Samia alikuwa Waziri wa masuala ya muungano, kwanini leo ndugu zake Waznz wanalalamika kuonewa ktk muungano?
Hakuna mwenye akili/intellect za kumjibu Lisu, sana sana watatukana!Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Hata Tundu Lissu ukimpa u Prezida wa Tz leo, hawezi kufanya hicho anachotaka.Muungano haufi ila watu waachwe waujadili kwa kina, hayo machache tu aliyoyaibua Lissu yamewaamsha wengi - yaani ni kama kachoma kuni mbichi ndani ya shimo..
Huko United Kingdom, Scotland inatamani ijiondoe kwenye Muungano lakini wanakataliwa. Wales na Ireland pia wanajiona wanahitaji kuwa sovereign lakini hawajarusiwa kuwa independent.Suala la muungano,ni la kuangaliwa kwa upya... principles za business as usual zinahatarisha muungano.
Tanganyika irudi,iwe na Katiba yake,Rais wake na serikali yake.
Na muungano uwepo&kudumishwa.
Hata China pamoja na ukubwa wote ule bado inadai kuwa Taiwan, Hong-Kong na Tibet ni sehemu za nchi zao.Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
kwani alikuwa mwenyekiti wa chama ambacho ndiyo chenye uamuzi wa mwisho? Hebu tueleweshe kidogo
Huko United Kingdom, Scotland inatamani ijiondoe kwenye Muungano lakini wanakataliwa. Wales na Ireland pia wanajiona wanahitaji kuwa sovereign lakini hawajarusiwa kuwa independent.
USA zile states 51 ziliunganishwa kwa civil wars miaka ya 1700. Kwa nini wasiziache ziwe pekee?
Russia leo inapigana na Ukraine kutetea wananachi wa Ukraine wenye asili ya Russia kwenye majimbo ya Luhansk na Donestk, yote ni kujiimarisha.
Akina Tundu Lissu au Jussa ni wachache kuliko wengi wanaopenda Muungano.
Mfumo aliouweka Nyerere ulikuwa na faida zake na hasara zake. Kikubwa ni kuzipima tu whether hasara ni kubwa kuliko faida
Tanganyika imepata mtetezi lakini Watanganyika wenyewe hawaitaki Tanganyika yao, wao ugomvi wao ni Wanzanzibari.Omo siku zote sio muumini wa huu muungano anajulikana na Tanganyika imepata mtetezi wake wa wazi ambae ni lissu
Hivi nini sababu za yule mjumbe toka znz kujiudhuru toka kwenye hiyo tume ya katiba mpya. Naamini wengi ni bendera fuata upepo lakini sababu hawajui ila wanadai shida ilikuwa UKAWA.UKAWA Ndio walitukosesha katiba mpya 🐼
Wanaopaswa kujibu hoja hii ni CCM na siyo ACT Wazalendo kwa kuwa aliyeshambuliwa ni Samia Mwenyekiti wa CCM.Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Tanganyika imepata mtetezi lakini Watanganyika wenyewe hawaitaki Tanganyika yao, wao ugomvi wao ni Wanzanzibari.
Unaogopa nini? Anajibiwa Lissu au inajibiwa hoja?Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo