Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Kinachokupa mchecheto , wasi wasi, na lundo a mawazo nini haswa maana naona ni kama tu umekanganyika!Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo
Kilichonitisha ni kifungu Cha Katiba ya Zanzibar kinachosema " Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"
Tundu Lissu amepigia mstari Neno " inatokana " na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?!
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Wazanzibari ni wazanzibari, wana kwao.
Tanganyika ni Tanganyika , nasi tupo vizuri tu!