Ninaogopa endapo Othman Masoud na Ismail Jussa wataamua kumjibu Tundu Lissu wa CHADEMA kuhusu Katiba ya JMT ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984!

Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu Cha Katiba ya Zanzibar kinachosema " Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno " inatokana " na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?!

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Kinachokupa mchecheto , wasi wasi, na lundo a mawazo nini haswa maana naona ni kama tu umekanganyika!
Wazanzibari ni wazanzibari, wana kwao.
Tanganyika ni Tanganyika , nasi tupo vizuri tu!
 
Sasa Lisu analia Lia nini Mheshimiwa?
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu Cha Katiba ya Zanzibar kinachosema " Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno " inatokana " na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?!

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
HAMNA MUUNGANO HAPO, WHERE IS TANGANYIKA
 
..mkishindwa hoja mnadai mmetukanwa.🤣

..kwa muda mrefu Samia alikuwa Waziri wa masuala ya muungano, kwanini leo ndugu zake Waznz wanalalamika kuonewa ktk muungano?
kwani alikuwa mwenyekiti wa chama ambacho ndiyo chenye uamuzi wa mwisho? Hebu tueleweshe kidogo
 
Suala la muungano,ni la kuangaliwa kwa upya... principles za business as usual zinahatarisha muungano.
Tanganyika irudi,iwe na Katiba yake,Rais wake na serikali yake.
Na muungano uwepo&kudumishwa.
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Hakuna mwenye akili/intellect za kumjibu Lisu, sana sana watatukana!
 
Muungano haufi ila watu waachwe waujadili kwa kina, hayo machache tu aliyoyaibua Lissu yamewaamsha wengi - yaani ni kama kachoma kuni mbichi ndani ya shimo..
Hata Tundu Lissu ukimpa u Prezida wa Tz leo, hawezi kufanya hicho anachotaka.

Nyerere mwenyewe haikuwa hiari yake kuungana na ZNZ. Instead, lilikuwa ni shinikizo la CIA kuizuia ZNZ isiangukie Eastern Block baada ya vuguvugu la vijana wa wa wakati huo ambao walikuwa na influence kwenye siasa mfano Kassim Hanga, Abdulrahman Babu nk.

Wakifanya kazi kupitia Consulate wa ZNZ Frank Carlucci, CIA walimu approach kwanza Jomo Kenyatta kwa ajiri ya muungano na ZNZ akawatolea nje ndipo waka m-face Nyerere.

Baadaye Carlucci alikuja kuhamia Congo then akawa CEO wa CIA kabla ya kifo chake mwaka 2018
 
Suala la muungano,ni la kuangaliwa kwa upya... principles za business as usual zinahatarisha muungano.
Tanganyika irudi,iwe na Katiba yake,Rais wake na serikali yake.
Na muungano uwepo&kudumishwa.
Huko United Kingdom, Scotland inatamani ijiondoe kwenye Muungano lakini wanakataliwa. Wales na Ireland pia wanajiona wanahitaji kuwa sovereign lakini hawajarusiwa kuwa independent.

USA zile states 51 ziliunganishwa kwa civil wars miaka ya 1700. Kwa nini wasiziache ziwe pekee?

Russia leo inapigana na Ukraine kutetea wananachi wa Ukraine wenye asili ya Russia kwenye majimbo ya Luhansk na Donestk, yote ni kujiimarisha.

Akina Tundu Lissu au Jussa ni wachache kuliko wengi wanaopenda Muungano.

Mfumo aliouweka Nyerere ulikuwa na faida zake na hasara zake. Kikubwa ni kuzipima tu whether hasara ni kubwa kuliko faida
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Hata China pamoja na ukubwa wote ule bado inadai kuwa Taiwan, Hong-Kong na Tibet ni sehemu za nchi zao.

Wanachofanya ni kuwapa special autonomy tu. Of course autonomy ya Taiwan haiko sawa na Hong-Kong, na ya Hong-Kong nayo haiko sawa na Tibet.

Akina Lissu na Jussa wa Taiwan, Hong-Kong na Tibet wanalalamika kila siku juwa wanataka uhuru kamili. Na wanaungwa mkono na USA, UK, Germany etc.

Lakini waambie UK waiachie Scotland usikie muziki wao au USA waiachie Hawaii
 
kwani alikuwa mwenyekiti wa chama ambacho ndiyo chenye uamuzi wa mwisho? Hebu tueleweshe kidogo

..alishindwa kumshauri Mwenyekiti wa chama chake, na Raisi, kuhusu namna bora ya kutatua kero za muungano.

..pia tangu 2021 amekuwa Mwenyekiti wa chama, Raisi, na Amiri Jeshi Mkuu, na ameshindwa kuyapatia ufumbuzi masuala yanayolalamikiwa.

..kwa kifupi Samia yuko pale kwa maslahi BINAFSI, na si kwa maslahi ya Waznz, Watgk, au muungano.
 
Huko United Kingdom, Scotland inatamani ijiondoe kwenye Muungano lakini wanakataliwa. Wales na Ireland pia wanajiona wanahitaji kuwa sovereign lakini hawajarusiwa kuwa independent.

USA zile states 51 ziliunganishwa kwa civil wars miaka ya 1700. Kwa nini wasiziache ziwe pekee?

Russia leo inapigana na Ukraine kutetea wananachi wa Ukraine wenye asili ya Russia kwenye majimbo ya Luhansk na Donestk, yote ni kujiimarisha.

Akina Tundu Lissu au Jussa ni wachache kuliko wengi wanaopenda Muungano.

Mfumo aliouweka Nyerere ulikuwa na faida zake na hasara zake. Kikubwa ni kuzipima tu whether hasara ni kubwa kuliko faida

..kila tume iliyoundwa kuangazia muungano wetu imekuja na pendekezo la serikali 3.
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Wanaopaswa kujibu hoja hii ni CCM na siyo ACT Wazalendo kwa kuwa aliyeshambuliwa ni Samia Mwenyekiti wa CCM.
 
Tanganyika imepata mtetezi lakini Watanganyika wenyewe hawaitaki Tanganyika yao, wao ugomvi wao ni Wanzanzibari.

..tatizo kuna genge liko kwa ajili ya kulinda na kutetea vyeo vya watu fulani.

..Watgk na Waznz tunapaswa kuweka maslahi ya nchi mbele, na binafsi baadae.

..Muungano unaweza kuwa bora zaidi kama tutaujadili kwa kuzingatia maslahi na haki za kila upande.
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Unaogopa nini? Anajibiwa Lissu au inajibiwa hoja?
 
Back
Top Bottom