Ninaogopa endapo Othman Masoud na Ismail Jussa wataamua kumjibu Tundu Lissu wa CHADEMA kuhusu Katiba ya JMT ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984!

Kwahiyo Zanzibar isiiachililie Tanganyika?🐼
 
Henry Kissinger mwaka jana novemba alifariki
 

..Ni makosa kuwaamini TISS.

..Katiba yetu imetengeneza Raisi mungu-mtu hivyo anaburuza taasisi zote, ikiwemo TISS, pamoja na raia wote.
 
Angalau umesema kweli.
 
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni amlinde Tundu Lissu.
 
Zanzibar tupo nao kwa sababu za kiulinzi na kiusalama, je sababu hizi hazina mashiko leo kulinganisha na mwaka 1964?.

Kuna masuala ya makabila yote yaliyoko Zanzibar kuwa na watu wale wale waliopo huku bara, suala la udugu wa asili.

Wengine wanaohoji na kuubeza muungano wanazo sababu za wao kuwa ni wanasiasa wanaovizia madaraka na pengine ni mawakala wa siri wa CCM.
 
..Tanganyika lazima arudi.

..Kikwete alijaza wafuasi wa Mwalimu Nyerere ktk Tume ya Warioba, lakini bado ilishindikana kuzima hoja ya Tanganyika, na muungano wa serikali 3.
Wakawa wanakata Majina pendekezwa ya wawakilishi, hatari sana joka kuu ni kama kile kisa cha kuficha kichwa kiwiliwili kiko nje
 
Uoga wako ndo umaskin wako
 
Una maslahi gani makubwa yanayokufanya uogope, inawezekana ni mmoja wa wanaochota pesa zetu kupitia viongozi walafi wa CCM.
 
Huu upuuzi ndio nakataa, unakuta analalamika kuhusu muungano kutokuwa na tija kisa ye mzenji afu unakuta makazi yake ni Mbweni au Kigamboni


Sasa si mkae huko mliko muupambanie huo utengano wenu????
 
Samiah atadaiwa katiba mpya Iko wapi hapo 2025 sijui atajibu Nini hasa!!?

Akisema muda haukutosha ataulizwa mbona muda was kuuza Bandari na kufukuza wamasai ulitosha!!?iweje muda wa katiba mpya haujatosha!!?

Yaani ukichomeka nchale ukichomoa nchale kazi ipo kwakweli!!

Kinachoendelea Sasa ndio kampeni za 2025!!katiba katiba katiba katiba katiba katiba Hadi makunduchi watauliza katiba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…