johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #61
Kwahiyo Zanzibar isiiachililie Tanganyika?🐼Hata China pamoja na ukubwa wote ule bado inadai kuwa Taiwan, Hong-Kong na Tibet ni sehemu za nchi zao.
Wanachofanya ni kuwapa special autonomy tu. Of course autonomy ya Taiwan haiko sawa na Hong-Kong, na ya Hong-Kong nayo haiko sawa na Tibet.
Akina Lissu na Jussa wa Taiwan, Hong-Kong na Tibet wanalalamika kila siku juwa wanataka uhuru kamili. Na wanaungwa mkono na USA, UK, Germany etc.
Lakini waambie UK waiachie Scotland usikie muziki wao au USA waiachie Hawaii