Ninaogopa endapo Othman Masoud na Ismail Jussa wataamua kumjibu Tundu Lissu wa CHADEMA kuhusu Katiba ya JMT ya 1977 na Katiba ya Zanzibar ya 1984!

Hata China pamoja na ukubwa wote ule bado inadai kuwa Taiwan, Hong-Kong na Tibet ni sehemu za nchi zao.

Wanachofanya ni kuwapa special autonomy tu. Of course autonomy ya Taiwan haiko sawa na Hong-Kong, na ya Hong-Kong nayo haiko sawa na Tibet.

Akina Lissu na Jussa wa Taiwan, Hong-Kong na Tibet wanalalamika kila siku juwa wanataka uhuru kamili. Na wanaungwa mkono na USA, UK, Germany etc.

Lakini waambie UK waiachie Scotland usikie muziki wao au USA waiachie Hawaii
Kwahiyo Zanzibar isiiachililie Tanganyika?🐼
 
Muungano ulianzishwa kwa ombi la Wamarekani, kwa faida walizozijua wao.

Mzee Henry Kissinger, ambaye alishiriki kuutengeneza huu Muungano, bado yupo hai, wataalam wa Hostoria, kaongeani naye, akawape ABC ya Muungano.

Kwa sasa muundo w Muungano urekebishwe ili uwe na tija kwa pande husika. Hofu waliyokuwa nayo Wamarekani wakati ule, sidhani kama bado ipo.
Henry Kissinger mwaka jana novemba alifariki
 
Siasa zetu zina ujinga, uongo, ujuha, upumbavu na mengine yanayofanana na hayo. Tunajenga jamii na taifa la namna gani?
Lazima lifanyike jambo ili tuwe na watu wakweli, waadilifu na wenye weledi kwenye siasa kwa mustakabali mwema wa jamii na taifa kwa ujumla.
Na hii ndiyo kazi ya kipaumbele kwa TISS. Au nao ni kama habari ya yai na kuku.

..Ni makosa kuwaamini TISS.

..Katiba yetu imetengeneza Raisi mungu-mtu hivyo anaburuza taasisi zote, ikiwemo TISS, pamoja na raia wote.
 
Hata Tundu Lissu ukimpa u Prezida wa Tz leo, hawezi kufanya hicho anachotaka.

Nyerere mwenyewe haikuwa hiari yake kuungana na ZNZ. Instead, lilikuwa ni shinikizo la CIA kuizuia ZNZ isiangukie Eastern Block baada ya vuguvugu la vijana wa wa wakati huo ambao walikuwa na influence kwenye siasa mfano Kassim Hanga, Abdulrahman Babu nk.

Wakifanya kazi kupitia Consulate wa ZNZ Frank Carlucci, CIA walimu approach kwanza Jomo Kenyatta kwa ajiri ya muungano na ZNZ akawatolea nje ndipo waka m-face Nyerere.

Baadaye Carlucci alikuja kuhamia Congo then akawa CEO wa CIA kabla ya kifo chake mwaka 2018
Angalau umesema kweli.
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni amlinde Tundu Lissu.
 
Zanzibar tupo nao kwa sababu za kiulinzi na kiusalama, je sababu hizi hazina mashiko leo kulinganisha na mwaka 1964?.

Kuna masuala ya makabila yote yaliyoko Zanzibar kuwa na watu wale wale waliopo huku bara, suala la udugu wa asili.

Wengine wanaohoji na kuubeza muungano wanazo sababu za wao kuwa ni wanasiasa wanaovizia madaraka na pengine ni mawakala wa siri wa CCM.
 
..Tanganyika lazima arudi.

..Kikwete alijaza wafuasi wa Mwalimu Nyerere ktk Tume ya Warioba, lakini bado ilishindikana kuzima hoja ya Tanganyika, na muungano wa serikali 3.
Wakawa wanakata Majina pendekezwa ya wawakilishi, hatari sana joka kuu ni kama kile kisa cha kuficha kichwa kiwiliwili kiko nje
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Uoga wako ndo umaskin wako
 
Tundu Lissu amepigia mstari Neno "eeinatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Una maslahi gani makubwa yanayokufanya uogope, inawezekana ni mmoja wa wanaochota pesa zetu kupitia viongozi walafi wa CCM.
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Huu upuuzi ndio nakataa, unakuta analalamika kuhusu muungano kutokuwa na tija kisa ye mzenji afu unakuta makazi yake ni Mbweni au Kigamboni

Sasa si mkae huko mliko muupambanie huo utengano wenu????
 
Majibu ya Tundu Antipas Lissu kwa Wakuli Msomi Fatma Karume mjukuu wa muasisi wa Muungano yamenitisha lakini naogopa zaidi kama Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Othman Masoud na msaidizi wake Ismail Jussa wataamua kujibu Mapigo

Kilichonitisha ni kifungu cha Katiba ya Zanzibar kinachosema "Tanzania INATOKANA na muungano wa Nchi mbili"

Tundu Lissu amepigia mstari Neno "inatokana" na akauliza hiyo Nchi ya pili ni ipi?

Tuzidi kumuomba Mungu wa mbinguni aulinde Muungano Wetu!
Samiah atadaiwa katiba mpya Iko wapi hapo 2025 sijui atajibu Nini hasa!!?

Akisema muda haukutosha ataulizwa mbona muda was kuuza Bandari na kufukuza wamasai ulitosha!!?iweje muda wa katiba mpya haujatosha!!?

Yaani ukichomeka nchale ukichomoa nchale kazi ipo kwakweli!!

Kinachoendelea Sasa ndio kampeni za 2025!!katiba katiba katiba katiba katiba katiba Hadi makunduchi watauliza katiba!!
 
Back
Top Bottom