Kikwava
JF-Expert Member
- Sep 6, 2015
- 1,741
- 1,068
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?
3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?
4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!
NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.