kibori nangai
JF-Expert Member
- Jan 14, 2015
- 1,430
- 2,130
Huyo m/kiti wa UVCCM amechukuliwa hatua ganiiCCM huwezi ukafanya indiscipline case yyte ukabaki salama bila kujar ww Ni Nani, ndo maana ni rahisi kusimama hadhani ukasema 'mm ni CCM lakini si kusema mm ni chadema kwasababu jamii inajua wafuas wa chadema ni masela fulani hivi ambao huwezi kuwatofautisha na uhalifu
Uwe unaweka akiba ya maneno
And embu fungua ubongo CCM hawajitukani ,na hawana lugha chafu kwao ila upande wa pili.
Jibu hapo acha ngonjeraa