Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

Ushahid wa kosa la mtuhumiwa huwekwa wazi Sasa kwann chadema huwa wanawafanya kuwa wanachama wao, huoni Kama Kuna shida?
Kwamba ukiwa mtuhumiwa wa kosa la kimtandao ndiyo sifa ya kuwa mwanachama wa CHADEMA?Say again...!!#@
 
Kwa maswali hayo mbowe hawezi kuja labda umdanganye kuwa kuna mashindano ya kunywa konyagi
 
Hakuna wizi wa kura nchini.
Sema tu hayo matukio hapo juu yanafanya chadema kionekane ni chama Cha waharifu
Kwani wizi wa kura nasema nikisubiri ww ukiri? Huo ni ushenzi ulio wazi hadi watoto wanajua.
 
Mkuuu

Ni declare interest mimi ni Mwana CCM.
Lakini yapo mambo ambayo hata CCM inafanya na watu kwa sabubu mfumo unatulinda hatuoni kama ni shida.

Nitakupa mfanooo.
1. Kule mkoa wa KKagera M/KITI UVCCM ameshawai kuzungumza kwa habari ya kupoteza watu
Jee CCM washai kumchukulia hatu zozote maana huo ni ushaidi.tosha kwamba kuna uuwaji unaofanywa na CCM na vyombo vya dola ziko kimya.

2. Nape amewai kutukana Viongozi wa CHADEMA kwa uwazi ,mbona CCM hatukumkemea.

3.Sasa ivi mmemchukua MSIGWA amekuwa na lugha zisizo na staha kwa Viongozi wa Chadema CCM iko kimya.

Duniani VIONGOZI WOTE NI SAWAA .
Hata kama ni wa Serikali ,wa Vyama
Ni sawaa hakuna ambaye sio Kiongozi maana anawakilisha watu waliwachagua.

Sio tu Viongozi wa Ccm Wakisemwa ndio upige yowe uone ndio Viongozi
Hapana unakosea.

Naa kila chama inawalinda watu wake
Kama ambavyo CCM inalindwa na Mfumo.
Chadema wao njia pekee nii mahakamani na wakati mwingine mahakama haziko huru.
Kumbuka Kesi ya Mboye ,kesi ya mchongo,kesi ya manyanyaso ,kesi ya ajabu ,

Mbona hayo huoni
 
Tunaomba wahojiwe viongozi wa chadema kwa haya yafuatayo.

1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao Ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk

2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za chadema kwenye profile zao, je! Kwao Kama viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?

3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mharifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa chadema badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?

4. Je! Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uharifu indiscipline cases na chadema? kwasababu kila mharifu nchini kwenu nyie chadema kwao ni mtu Safi. Hii hapana!

NB; viongozi wakuu wa chadema mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
1. Kitu kinaweza kuwa kero kwako ila halali kwa mwingine. Kwa mfano mtoa mada wewe unaona kitendo cha mtu kuikosoa serekali ni kero kwa jamii na hii ni kwa sababu ya itikadi zako (najua utabisha)

2. Kwako wewe tusi linaanzia wapi na kuishia wapi? Mtu akisema fulani ni mwizi, mtekaji na muuwaji hili ni tusi au? Uvccm wanaposema Mbowe ni dikteta na anatumia mali za chama vibaya unachukulia Kama ni tusi au allegations?

3. Kuna very thin line between uharakati na chadema please do not confuse the two!

4. Unachochanganya na kutaka kupotosha ni kusema chadema inakumbatia kila muhalifu! Ni kweli kuwa chadema ilikumbatia hadi wezi wa kuku au wauwaji wa albino? Unadanganya mkuu. Sema chadema imekumbatia watekwaji au wahanga wa kufunguliwa kesi za mitandao baada ya kukosoa serekali na/au viongozi
 
Mkuuu

Ni declare interest mimi ni Mwana CCM.
Lakini yapo mambo ambayo hata CCM inafanya na watu kwa sabubu mfumo unatulinda hatuoni kama ni shida.

Nitakupa mfanooo.
1. Kule mkoa wa KKagera M/KITI UVCCM ameshawai kuzungumza kwa habari ya kupoteza watu
Jee CCM washai kumchukulia hatu zozote maana huo ni ushaidi.tosha kwamba kuna uuwaji unaofanywa na CCM na vyombo vya dola ziko kimya.

2. Nape amewai kutukana Viongozi wa CHADEMA kwa uwazi ,mbona CCM hatukumkemea.

3.Sasa ivi mmemchukua MSIGWA amekuwa na lugha zisizo na staha kwa Viongozi wa Chadema CCM iko kimya.

Duniani VIONGOZI WOTE NI SAWAA .
Hata kama ni wa Serikali ,wa Vyama
Ni sawaa hakuna ambaye sio Kiongozi maana anawakilisha watu waliwachagua.

Sio tu Viongozi wa Ccm Wakisemwa ndio upige yowe uone ndio Viongozi
Hapana unakosea.

Naa kila chama inawalinda watu wake
Kama ambavyo CCM inalindwa na Mfumo.
Chadema wao njia pekee nii mahakamani na wakati mwingine mahakama haziko huru.
Kumbuka Kesi ya Mboye ,kesi ya mchongo,kesi ya manyanyaso ,kesi ya ajabu ,

Mbona hayo huoni
CCM huwezi ukafanya indiscipline case yyte ukabaki salama bila kujar ww Ni Nani, ndo maana ni rahisi kusimama hadhani ukasema 'mm ni CCM lakini si kusema mm ni chadema kwasababu jamii inajua wafuas wa chadema ni masela fulani hivi ambao huwezi kuwatofautisha na uhalifu
 
Na kama ndiyo mnalipwa elfu 7 kwa kazi kama hii basi ni janga la CCM.Wapigie simu na wenzako muwe wengi kwenye uzi wako mjaribu.Nadhani umeona uzi wako ulivyodakwa..hizi fataki huziwezi jombaa.Kaa kimya uzi ufe natural death tu.CHADEMA hatujuani, ila anga kama hizi huwa tunakutana kwa kasi ya 6G no matter ni Jumapili.Hongera tu kwa kutukutanisha
 
Umeelimishwa lakini bado umekaza shingo.Wewe unatakiwa utandikwe bakora za shingo nyingi hadi uombe ukajisaidie.
 
Na kama ndiyo mnalipwa elfu 7 kwa kazi kama hii basi ni janga la CCM.Wapigie simu na wenzako muwe wengi kwenye uzi wako mjaribu.Nadhani umeona uzi wako ulivyodakwa..hizi fataki huziwezi jombaa.Kaa kimya uzi ufe natural death tu.CHADEMA hatujuani, ila anga kama hizi huwa tunakutana kwa kasi ya 6G no matter ni Jumapili.Hongera tu kwa kutukutanisha
Mimi Sina taarifa hzo, nasema yangu yaliyomoyoni nataka wajibu viongozi wa chadema
 
Na kama ndiyo mnalipwa elfu 7 kwa kazi kama hii basi ni janga la CCM.Wapigie simu na wenzako muwe wengi kwenye uzi wako mjaribu.Nadhani umeona uzi wako ulivyodakwa..hizi fataki huziwezi jombaa.Kaa kimya uzi ufe natural death tu.CHADEMA hatujuani, ila anga kama hizi huwa tunakutana kwa kasi ya 6G no matter ni Jumapili.Hongera tu kwa kutukutanisha
Unalipwa ww
 
Back
Top Bottom