Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

Ninaomba Jukwaa letu la JamiiForums liwahoji Viongozi wakuu wa CHADEMA wakiongozwa na Mwenyekiti wao; kwa haya Yanayoendelea nchini mwetu

CCM huwezi ukafanya indiscipline case yyte ukabaki salama bila kujar ww Ni Nani, ndo maana ni rahisi kusimama hadhani ukasema 'mm ni CCM lakini si kusema mm ni chadema kwasababu jamii inajua wafuas wa chadema ni masela fulani hivi ambao huwezi kuwatofautisha na uhalifu
Huyo m/kiti wa UVCCM amechukuliwa hatua ganii

Uwe unaweka akiba ya maneno

And embu fungua ubongo CCM hawajitukani ,na hawana lugha chafu kwao ila upande wa pili.
Jibu hapo acha ngonjeraa
 
Indiscipline cases zote nchini zinatoka kwa wafuasi wa chadema Sasa nikupe tofauti ipi Wakati nimeorodhesha hapo juu
Indiscipline? Hauna tofauti na walokole wanaopoint fingers kwa “malaya na walevi tu” Wakati kati yao kuna wasengenyaji, wauaji, wanafiki, wabakaji, wezi na wenye dhambi wengine. (wanachagua dhambi)

Hakuna indiscpline ambayo wana CDM wanaifanya, Wana CCM hawaifanyi, they have done worse so far na yanaleta madhara kwa wananchi wa nchi hii.

Fairly; tunapaswa kuwakaba roho tuliowapa dhamana ya kuiongoza hii nchi, hatuwadai kitu CDM, and again so far wamefanya makubwa, as they should.
 
Huyo m/kiti wa UVCCM amechukuliwa hatua ganii

Uwe unaweka akiba ya maneno

And embu fungua ubongo CCM hawajitukani ,na hawana lugha chafu kwao ila upande wa pili.
Jibu hapo acha ngonjeraa
Mbona nimefafanua hapo nn usichoelewa
 
Indiscipline? Hauna tofauti na walokole wanaopoint fingers kwa “malaya na walevi tu” Wakati kati yao kuna wasengenyaji, wauaji, wanafiki, wabakaji, wezi na wenye dhambi wengine. (wanachagua dhambi)

Hakuna indiscpline ambayo wana CDM wanaifanya, Wana CCM hawaifanyi, they have done worse so far na yanaleta madhara kwa wananchi wa nchi hii.

Fairly; tunapaswa kuwakaba roho tuliowapa dhamana ya kuiongoza hii nchi, hatuwadai kitu CDM, and again so far wamefanya makubwa, as they should.
Hapo mwenyewe nikikuuliza ww ni chama gani utaona aibu kusema ww ni mwanachama wa chadema kwasabu unajua maovu mnayoyafanya nchini
 
Uwe na akili kidogo. Ajiteke ajipige risasi, ajitupe Katavi? Wewe ni wa ku block maana huna kitu kichwani.
Yah inawezekana pia, Kwann Ni wanachama wa chadema tu?
 
Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.

1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk

2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za chadema kwenye profile zao, je! Kwao Kama viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?

3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa Chadema badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?

4. Je! Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na Chadema? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie Chadema kwao ni mtu Safi. Hii hapana!

NB; Viongozi wakuu wa Chadema mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
Pumba tupu
 
🤣🤣🤣Mkuu umeona mwenyewe huwezi kutamka wazi kuwa ww ni chadema kwasabu unajua taswira tuliyonayo ss Wananchi juu ya chadema

Haya Mimi ni mwanachama wa CCM
Chama cha siasa kinanisaidia nini mimi?Mimi nataka ukweli tu.Hayo mengine mtajijua nayo.
 
🤣🤣🤣Mkuu umeona mwenyewe huwezi kutamka wazi kuwa ww ni chadema kwasabu unajua taswira tuliyonayo ss Wananchi juu ya chadema

Haya Mimi ni mwanachama wa CCM
Yaani wewe ndiyo taswira ya wananchi..wapi.?Msigwa au Kibajaji labda
 
Back
Top Bottom