Chama. Cha wahuniTunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za chadema kwenye profile zao, je! Kwao Kama viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?
3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa Chadema badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?
4. Je! Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na Chadema? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie Chadema kwao ni mtu Safi. Hii hapana!
NB; Viongozi wakuu wa Chadema mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
😂😁😁Tukujibu au Tusubiri Viongozi Wakuu?
Unaongea na Kiongozi wa CHADEMA hapa.eeh: Swali??Mimi Sina taarifa hzo, nasema yangu yaliyomoyoni nataka wajibu viongozi wa chadema
Hamnazo yaani mwizi na tapeli wakutupwa tuongee na wewe kwa lugha laini huku tukiku petipeti na kukuita bebi eti ?!Ili iweje..Sifa ya kuwa chadema
1:Uwe na uwezo wa kutukana viongozi au Wala wanao kuwa kinyume nawe
2:Uwe na sauti ya ukali yani ya kufokea watu
Haikupaswa hata kumjibu huyu chizi!Tukujibu au Tusubiri Viongozi Wakuu?
Huyu maler-yer anatafuta attentionHaikupaswa hata kumjibu huyu chizi!
Huyu maler-yer anatafuta attention
DUH?Siyo rushwa,wizi, utekaji watu, mauaji ya albino nk.Yanatoka CCM?Indiscipline cases zote nchini zinatoka kwa wafuasi wa chadema Sasa nikupe tofauti ipi Wakati nimeorodhesha hapo juu
HIi ni kwa kuwa sheria nyingine ni mbovu na zililenga kuwadhibiti hao unao waita chadema na unaowaita wahalifu,kutokubaliana na uharamu huo majibu unayaona na kujijibu huku ukija hapa kinaa kuliiza maswali ya kinaa.Tunaomba wahojiwe viongozi wa Chadema kwa haya yafuatayo.
1. Kwanini wanakumbatia wanachama wao ambao tabia na matendo yao ni kero kwa jamii mfano wa akina Mdude, Maria sarungi nk
2. Kwanini hawawakanyi wanachama wao pale wanapotukana viongozi waziwazi huku wakiwa na logo za CHADEMA kwenye profile zao, je, Kwao Kama Viongozi wakuu wa chama wanaona halali? Au wanawatuma?
3. Kwanini mtu yoyote ambaye amehukumiwa kama mhalifu wa makosa ya kimtandao (cybercrimes act, 2015) wanamfanya Kama mwanachama wao wa CHADEMA badala ya kumtenga na kumkataa je! Hii ni sawa?
4. Je, Sisi Kama Wananchi Tutatofautishaje Kati ya uhalifu indiscipline cases na CHADEMA? Kwasababu kila mhalifu nchini kwenu nyie CHADEMA kwao ni mtu Safi. Hii hapana!
NB; Viongozi wakuu wa CHADEMA mjitafakari na mchukue hutua kwa hayo niliyoyaorodhesha hapo juu maana wanachama wenu wanaleta picha mbaya kwa jamii.
Mkuu umepaniki Sana, pole san
Waharifu ni watu wa aina gani,,!?Hakuna wizi wa kura nchini.
Sema tu hayo matukio hapo juu yanafanya chadema kionekane ni chama Cha waharifu
Wewe tu ya Mdude ikikupwaya utasema tukutafutie yenye kukukolea vizuri.ku inye- CCM yako: Kujifuta muhimu kama ma.vi yametoka, ili kazi iendelee, vinginevyo utakoswa wateja kwa uchafu na utaondolewa kwenye Lumumba Payroll.Ila uzi sifuti mpaka sindano iwakolee