Ninaomba mchanganuo wa biashara rahisi... Wanangu hawajalipiwa karo na maisha hayaendi. Nina 500,000 tu ndugu zangu, nifanye nini?

Ninaomba mchanganuo wa biashara rahisi... Wanangu hawajalipiwa karo na maisha hayaendi. Nina 500,000 tu ndugu zangu, nifanye nini?

hata mimi niko arusha na naijua vyema nielekeze mahali wanapouza hayo maji ya bomba ya kunywa ya tsh 200.
unaijua ARUSHA halafu hujui maji ya 200 yanauzwa wapi? BADO huijui ARUSHa acha nikuache ukae utulie usubiri chakula kiive ukale.
 
Acha kuona watu ni wajinga mkuu! Karanga debe ziwe Tsh 20,000?,
Sukari kg 5 itakuwaje Tsh 2,500?
Kahawa pkt zitakuwaje Tsh 1,000 Badala ya Tsh 1,500 or 2,000?

Elewa pia kuna changamoto za biashara.

Maelezo yako ni ya mtu aliyefunga hesabu kabla ya kazi wakati kuna hesabu baada ya kazi.

Zingatia @


Sent using Jamii Forums mobile app
 
NAKUPA BIASHARA NDUGU CHANGAMKA NA USIACHE
Hii biashara inadharaulika lakini UTANIKUMBUKA (kama hautoidharau)
MAHITAJI : FRIJI/FREEZER (najua hukosi huko nyumbani)
:Kama huna Friji/friza Nunua Madell ya kuwekea MABARAFU
BIASHARA YA KUUZA MAJI YA KANDORO
Nunua maji ya DAWASCO ndoo kubwa sh.200...Tafuta vijana wawili au kama uko peke ako ingia kwenye BAR/PUB/HOTEL omba makopo ya maji watu waliokunywa wakayatupa MFANYA USAFI wa mahali husika UTAMKUTA ANAYO KAYAKUSANYA ANAPOPAJUA YEYE mpe sh.2000 atakupa Roba mfuko wa kg.100 ule wa MCHELE umejaa makopo kibao.

Nenda nyumbani na Makopo yako yaoshe vizuri kbs (usitumie sabuni) kisha chukua makopo ya LITRE 1 jaza maji yako masafi yale ya dawasco...ukimaliza nenda kayaweke kwenye Friza yagande kbsa Asubuhi pakikucha Chukua ndoo TUPU weka maji yako yapange vizuri (itapendeza ukipata vijana hata wawili) kisha nendeni kauzeni Na jua hili mtauza sana Mtauza sh.200 PER BOTTLE so mkimaliza mnarudi mnachukua mzigo mwingine wa Maji mnaenda Front.
Nakuhakikishia kwa SIKU ukiingiza CHINI ya 50,000 rudi hapa NITUKANIE WAZAZI WANGU WOTE,nakubali lawama zozote kama Huu ushauri ninaokupa hautokupa FAIDA...Hata kama ukiwa peke ako huna Vijana Ukikosa 30,000 kwa siku NAKURUHUSU uje unitukane HADHARANI.
LAKI 5 yako kama huna FRIZA nenda kanunue Friza la MTUMBA 300,000 INABAKI lAKI MBILI sikufundishi jinsi ya kuitumia hiyo...
NOTE: Shida yako imekuja kipindi muafaka JUA LINAMULIKA IPASAVYO litumie Hili JUA KUVUKA NDUGU YANGU..hamna asiekunywa MAJI tena wakati unauza Nunua Epron nyeupeeee na kofia Vaaa. Uza maji ktk hali ya USAFI hakika utavuka .
biashara ya mtaji wako HAMNA NYINGINE ZAIDI YA VINYWAJI kama unataka kutoka haraka MAANA UNAMAJUKUMU UMESEMA ILA KAMA HAUNA MAJUKUMU NA HUITAJI HELA HARAKA...FANYA ZINGINE NAZO ZINA PESA.
ONYO: USHAROBARO/U KAKA DUU weka pembeni PAMBANA YA ELA YOTE.

Ushauri wako Ni mzuri, lakini tunarud palepale TATIZO LA WATU WA DAR ES SALAAM HUA MNADHANI KILA MTU ANAKAA DAR! JAMAA YUKO ARUSHA INATAKIWA APEWE USHAURI KULINGANA NA MAZINGIRA YA HUKO! HAYO MAJI YA HIVO MIKOA MINGINE WATU HAWANUNUI HATA UFANYEJE!!
 
Ushauri wako Ni mzuri, lakini tunarud palepale TATIZO LA WATU WA DAR ES SALAAM HUA MNADHANI KILA MTU ANAKAA DAR! JAMAA YUKO ARUSHA INATAKIWA APEWE USHAURI KULINGANA NA MAZINGIRA YA HUKO! HAYO MAJI YA HIVO MIKOA MINGINE WATU HAWANUNUI HATA UFANYEJE!!
angalia thread yake alafu uangalie alitaja mahali anapoishi?
 
angalia thread yake alafu uangalie alitaja mahali anapoishi?

Nimekuwa na biashara ya kufuga kuku wa mayai bahati mbaya nikauguliwa na mzazi nikauza kila kitu kilicho kuwa kinaweza kuuzika nikamuhudumia, hichi kimenifanya nirudi 0 ila namshukuru mungu mzazi alipona. Nisaidieni nianze vipi maana kuku wanahitaji mtaji mkubwa , naomba msaada wenu wa mawazo . Naishi Arusha
 
Acha kuona watu ni wajinga mkuu! Karanga debe ziwe Tsh 20,000?,
Sukari kg 5 itakuwaje Tsh 2,500?
Kahawa pkt zitakuwaje Tsh 1,000 Badala ya Tsh 1,500 or 2,000?
Elewa pia kuna changamoto za biashara.
Maelezo yako ni ya mtu aliyefunga hesabu kabla ya kazi wakati kuna hesabu baada ya kazi.
ndugu unajua maana ya alafa @
 
Tafuta eneo lenye makazi ya watu au mkusanyiko wa watu fanya biashara ya kuuza kahawa na kashata mida ya jioni/asubuhi,fungua hata vibanda vitatu maeneo tofauti tofauti...uwawekee na radio, wasikilize Dw,BBC n.k
Mawazo Yako Hayo Au Sio
 
Sika Bro Umeaona Mawazo Yao Hao Walio Changia Humu Watu Roho Zao Zimetoboka Kwa Wivu Wa Kijinga Hata Siku Moja Mfanyabiashara Aliye Fanikiwa Awez Kukupa Mbinu Anaogopa Usije Mcheka Baadae Ww Unachotakiwa Akili Yako Inavyo Kuambia Fanya Usiogope Ila Angarizo Usiwekeze Pesa Yote Wekeza Nusu Nusu Nyingine Ficha
 
Mkuu biashara inaendaje msimu huu wa mvua?

Ebhu nipe abc ulianza na vijana wangapi na unawalipaje? Pia ushawahi fikia lengo la kutengeneza 50k kwa siku kupitia maji
Hii post ilikuwa kipindi cha lile jua kali mkuu, kwa mvua hzi kwa hii biashara vuta pumzi kwanza
 
Back
Top Bottom