Mawembasa1979
JF-Expert Member
- Feb 26, 2015
- 2,540
- 3,333
Mimi sio Isaya ila nimetumia dawa ya huyo Isaya. Nami nilikuwa na matatizo ya tumbo kujaa gesi.Sawa isaya tumekuelewa, tutakuja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi sio Isaya ila nimetumia dawa ya huyo Isaya. Nami nilikuwa na matatizo ya tumbo kujaa gesi.Sawa isaya tumekuelewa, tutakuja
gonga dawa za minyoo kwanza sada hiv hata kama umekula chakulaNina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
😀😀😀😀😀Nikuletee mtungi wangu wa gesi unijazie,undugu kufaana sheikh
Pole sana mdogo wangu!!Nina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
Yawezekana una ugonjwa wa Crohn's disease.Nina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
Duh!!!Nikuletee mtungi wangu wa gesi unijazie,undugu kufaana sheikh
Kula mapapai na maparachichi!Nina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
Choo kikiwa kigumu lazima kiambatane na damu kidogo kwa sababu kitakuwa kimechana kidogo njia !! Kula dona mkuu na pia matunda kama parachichi na na mbogamboga pia achana na kula wali na mkate mweupe kula brown bread ! Pia usiku usile ukashiba na usile baada ya saa moja usiku !! Usile matunda na chakula pamoja, kula matunda saa moja kabla ya chakula au masaa manne baada ya kula chakula !!Nina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
Dona na Brown bread ndio mpango mzima + mboga kwa wingi na matunda.Acha kukaa mda mrefu bila Kula, epuka vyakula vya kukobolewa hata ulaji wa wali kila sku sio mzuri , epuka kutumia Sana vinywaji vya viwandani eg soda , hasa Pepsi na hasa unapomaliza tu Kula , na hata maji ya bardi sana mara unapomaliza Kula, epuka kukaa kaa Tu bila kazi inayohusisha viungo vya mwili kufanya kazi ...!! Vyakula vya asili ni suruhisho Bora zaidi
Huu ni ushirikina. periodChoo kikiwa kigumu lazima kiambatane na damu kidogo kwa sababu kitakuwa kimechana kidogo njia !! Kula dona mkuu na pia matunda kama parachichi na na mbogamboga pia achana na kula wali na mkate mweupe kula brown bread ! Pia usiku usile ukashiba na usile baada ya saa moja usiku !! Usile matunda na chakula pamoja, kula matunda saa moja kabla ya chakula au masaa manne baada ya kula chakula !!
Nina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
Nikuletee mtungi wangu wa gesi unijazie,undugu kufaana sheikh
Pole sana mdogo wangu!!
Nitakusaidia utapona tu.
Hebu kwanza nisaidie kujua, Njia ya haja kubwa haijawahi kupatwa na msukosuko wowote? I mean Ajali au hata kudondokea kitu chenye mcha kali.
Nipe jibu nitakusaidia
Ni mpangilio tu kula !! Na kila mtu na tumbo lake mwingine akila hichi anapata shida na mwingine akila hapati shida ! So angalia mwenyewe upoje na ujaribu kufuata ushauri inaweza ikasaidia!! Ushirikina ni kwenda kwa waganga kupiga Ramli !!Huu ni ushirikina. period
Bongo kila kitu ni dili la pesa ! Duh !!Nenda hospitali ukajieleze vizuri sio tu kwamba unajambajamba ! Ala ! Halafu ulipie na consultation fee sio kutaka ushauri wa bure ! Ebo !