Ninaomba msaada nina tatizo la tumbo kujaa gesi na kupata choo kigumu

Ninaomba msaada nina tatizo la tumbo kujaa gesi na kupata choo kigumu

Nina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
Ushauri namba moja na wa pekee ni kwenda kuwaona wataalam hospitalini.

Najuwa hilo ni rahisi kulisema, pengine kuliko kulitimiza kwa sababu mbalimbali.

Lakini kama hali siyo mbaya sana, ila hofu yako ni kuhusu hiyo damu, ambayo inaweza kutokana na michubuko tu ya kupitisha kinyesi kigumu; inawezekana pia ukapata msaada kwenye duka la dawa. Kuna dawa zinazotumika na kuuzwa bila kuhitaji cheti cha daktari. Hizi zinaweza kukusaidia kama ni tatizo dogo tu, pengine la kubadili 'diet' yako ya siku zote.

Nenda kwenye duka la dawa, zungumza na Famasia hapo akutafutie dawa itakayoweza kusaidia.
Ikishindikana, au hali ikizidi kuwa mbaya usichelewe zaidi kumwona daktari.
 
Nna dawa mujarab lkn nishaisahau jina nipo mbali na home nikifika nitapiga picha nikiwekeeni huenda n wengine ikawafaa
 
Pole sana mdogo wangu!!
Nitakusaidia utapona tu.

Hebu kwanza nisaidie kujua, Njia ya haja kubwa haijawahi kupatwa na msukosuko wowote? I mean Ajali au hata kudondokea kitu chenye mcha kali.

Nipe jibu nitakusaidia
Apana mkuu
 
Nina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
Tumia asali mara Kwa mara na maji viguvugu..

Punguza Maharage ,pilipili na maziwa mgando..

Wengine wanatumia Pepsi na kitunguu sawaumu kupunguza ila sidhani kama imamaliza.
 
nenda ccm kwenye makorido ya lumumba utakuta kunavijana wamefugwa huko kama nguruwe huku wakiwa wameshika leaflets yameandikwa mama anaupiga mwingi ukichukua herufi moja kwenye hayo mabango ukapondaponda kwenye jiwe ukanywa utaona jinsi mamayao anavyoupiga mwing.
Sikupanga kucheka kwa leo dah😆😆
 
Nina tatizo la tumbo kujaa gesi saan
Na kibaya zaidi na pata choo kigumu
Na nina jamba saana
Sasa leo nilivyo cheki kinyesi changu nimeona kama kuna matone kidogo kidogo ya damu
Sijui hili ni tatizo gani
Nilikwenda hospital docter aliniuliza dalili tu ninazo sikia nikamwambia akanigusa tumboni alafu akasema sina tatizo lolote zaidi ya gesi tu tumboni
Sasa nataka kuhuliza mtu mwenye gesi tumboni anaweza kupata cha ngumu?
Ambayo ina matone ya damu?
Tatizo lako ni mgolo wa ndan!
Tiba mbadala!
[emoji116][emoji116]
Paka mafuta ya nyonyo (local made sio ya viwamdanj mbarika unayapata kwenye maduka ya dawa Asili!) sehemu ya haja kubwa(anus) mara mbili kutwa!
Wakati wa kulala paka utomvu wa alovera!

Kabla ya kula ule chungwa.1 na yale maganda ya ndani usitupe yameze kulaimisha choo!

Kula sanaâ matunda matunda na mboga za majani!
Jiepushe sana na vyakula sababishi vya choo kigumu!

Utanikumbuka![emoji113]
 
nenda ccm kwenye makorido ya lumumba utakuta kunavijana wamefugwa huko kama nguruwe huku wakiwa wameshika leaflets yameandikwa mama anaupiga mwingi ukichukua herufi moja kwenye hayo mabango ukapondaponda kwenye jiwe ukanywa utaona jinsi mamayao anavyoupiga mwing.
Duuuh! imenichekesha sana,itabidi siku moja niende hapo Lumumba,nikaangalie hao vijana,kama wanafanyaje kazi hapo Lumumba,maana nimekua nikiwasikia eti 'Lumumba buku 7...'
 
Back
Top Bottom