Ninaomba msaada nina tatizo la tumbo kujaa gesi na kupata choo kigumu

gonga dawa za minyoo kwanza sada hiv hata kama umekula chakula
 
Pole sana mdogo wangu!!
Nitakusaidia utapona tu.

Hebu kwanza nisaidie kujua, Njia ya haja kubwa haijawahi kupatwa na msukosuko wowote? I mean Ajali au hata kudondokea kitu chenye mcha kali.

Nipe jibu nitakusaidia
 
Yawezekana una ugonjwa wa Crohn's disease.
Rudi kwa daktari akakuandikie hizi dawa za Azathioprine
 
Kula mapapai na maparachichi!
 
Choo kikiwa kigumu lazima kiambatane na damu kidogo kwa sababu kitakuwa kimechana kidogo njia !! Kula dona mkuu na pia matunda kama parachichi na na mbogamboga pia achana na kula wali na mkate mweupe kula brown bread ! Pia usiku usile ukashiba na usile baada ya saa moja usiku !! Usile matunda na chakula pamoja, kula matunda saa moja kabla ya chakula au masaa manne baada ya kula chakula !!
 
Dona na Brown bread ndio mpango mzima + mboga kwa wingi na matunda.
 
Huu ni ushirikina. period
 

Nenda hospitali ukajieleze vizuri sio tu kwamba unajambajamba ! Ala ! Halafu ulipie na consultation fee sio kutaka ushauri wa bure ! Ebo !
 
Pole sana mdogo wangu!!
Nitakusaidia utapona tu.

Hebu kwanza nisaidie kujua, Njia ya haja kubwa haijawahi kupatwa na msukosuko wowote? I mean Ajali au hata kudondokea kitu chenye mcha kali.

Nipe jibu nitakusaidia

[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23]
 
Huu ni ushirikina. period
Ni mpangilio tu kula !! Na kila mtu na tumbo lake mwingine akila hichi anapata shida na mwingine akila hapati shida ! So angalia mwenyewe upoje na ujaribu kufuata ushauri inaweza ikasaidia!! Ushirikina ni kwenda kwa waganga kupiga Ramli !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…