Ninaomba msaada nina tatizo la tumbo kujaa gesi na kupata choo kigumu

Ushauri namba moja na wa pekee ni kwenda kuwaona wataalam hospitalini.

Najuwa hilo ni rahisi kulisema, pengine kuliko kulitimiza kwa sababu mbalimbali.

Lakini kama hali siyo mbaya sana, ila hofu yako ni kuhusu hiyo damu, ambayo inaweza kutokana na michubuko tu ya kupitisha kinyesi kigumu; inawezekana pia ukapata msaada kwenye duka la dawa. Kuna dawa zinazotumika na kuuzwa bila kuhitaji cheti cha daktari. Hizi zinaweza kukusaidia kama ni tatizo dogo tu, pengine la kubadili 'diet' yako ya siku zote.

Nenda kwenye duka la dawa, zungumza na Famasia hapo akutafutie dawa itakayoweza kusaidia.
Ikishindikana, au hali ikizidi kuwa mbaya usichelewe zaidi kumwona daktari.
 
Nna dawa mujarab lkn nishaisahau jina nipo mbali na home nikifika nitapiga picha nikiwekeeni huenda n wengine ikawafaa
 
Pole sana mdogo wangu!!
Nitakusaidia utapona tu.

Hebu kwanza nisaidie kujua, Njia ya haja kubwa haijawahi kupatwa na msukosuko wowote? I mean Ajali au hata kudondokea kitu chenye mcha kali.

Nipe jibu nitakusaidia
Apana mkuu
 
Tumia asali mara Kwa mara na maji viguvugu..

Punguza Maharage ,pilipili na maziwa mgando..

Wengine wanatumia Pepsi na kitunguu sawaumu kupunguza ila sidhani kama imamaliza.
 
Sikupanga kucheka kwa leo dah😆😆
 
Tatizo lako ni mgolo wa ndan!
Tiba mbadala!
[emoji116][emoji116]
Paka mafuta ya nyonyo (local made sio ya viwamdanj mbarika unayapata kwenye maduka ya dawa Asili!) sehemu ya haja kubwa(anus) mara mbili kutwa!
Wakati wa kulala paka utomvu wa alovera!

Kabla ya kula ule chungwa.1 na yale maganda ya ndani usitupe yameze kulaimisha choo!

Kula sanaâ matunda matunda na mboga za majani!
Jiepushe sana na vyakula sababishi vya choo kigumu!

Utanikumbuka![emoji113]
 
Duuuh! imenichekesha sana,itabidi siku moja niende hapo Lumumba,nikaangalie hao vijana,kama wanafanyaje kazi hapo Lumumba,maana nimekua nikiwasikia eti 'Lumumba buku 7...'
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…