kilaza prof. Chawa kwenye ubora wako kutetea ugali.katika kuongeza wigo wa uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi nchini, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi inawajibika kupokea, kuskiza na kutekeleza maoni na mapendekezo ya wananchi juu ya uhitaji wa mgawanyo au nyongeza ya majimbo ya uchaguzi ili kusogeza huduma za kijamii, na kuongeza fursa za kiuchumi na kisiasa karibu zaidi na wananchi.
hivyo basi,
kugawanywa na kuongezwa kwa majimbo ya uchaguzi ni suala ambalo halikwepeki kwa mustakabali wa ustawi wa kidemokrasia na maendeleo ya taifa letu
gentleman,kilaza prof. Chawa kwenye ubora wako kutetea ugali.
Hakika hii kazi unaitendea haki.
Mtaji wa CCM ni wananchi wajingagentleman,
bilshaka umeelewa mantiki ya kugawanywa au kuongezwa kwa majimbo ya uchaguzi, right?
asanti kuelewa kwa wepesi
Gentleman,Mtaji wa CCM ni wananchi wajinga
Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania.
Binafsi ninawaomba/kuwashauri kuachana kabisa na wazo hili la kugawa majimbo kutokana sababu zifuatazo:-
(1) Zoezi hili linaongeza bajeti kubwa ambayo ingeelekezwa kwenye maeneo muhimu.
(2) Mchango wa Wabunge wetu kwa sasa hayakidhi matakwa yetu sisi wananchi tuliowatuma na hivyo kuongeza majimbo ni kama kupoteza fedha.
(3) Nchi yetu ina tatizo la ajira. Vijana wengi wako mitaani kwa kukosa ajira. Fedha hizo zingeelekezwa katika maeneo yatakayotengeneza ajira kwa vijana wetu.
(3) Katika shule zetu bado kuna uhaba mkubwa wa miundombinu kwa mfano madarasa, walimu, madawati n.k. tuelekeze fedha hizi kwenye maeneo ya elimu kuliko kuelekeza kama mishahara, posho kwa wabunge wa majimbo mapya.
(4) Itakuwa jambo la busara pia kuyaunganisha yale majimbo yenye wabunge wanaowakilisha watu mathalani 8,000 ili uwakilishi wao uwe na watu 100,000 na kuendelea.
Tuwe na uchungu na nchi yetu. Tupeleke rasilmali zetu kwenye maeneo muhimu. Ninamwomba Mhe. Rais aingilie suala hili la wazo la kugawa majimbo mapya.
Siasa hazina logic. Ni mchezo tu wa kuchanel pesa kutoka eneo moja kwenda lingine. Non Political State machinery is cheap to run and operate and influence performances katika nchi kuliko bulldogs political houses and posts.Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania.
Binafsi ninawaomba/kuwashauri kuachana kabisa na wazo hili la kugawa majimbo kutokana sababu zifuatazo:-
(1) Zoezi hili linaongeza bajeti kubwa ambayo ingeelekezwa kwenye maeneo muhimu.
(2) Mchango wa Wabunge wetu kwa sasa hayakidhi matakwa yetu sisi wananchi tuliowatuma na hivyo kuongeza majimbo ni kama kupoteza fedha.
(3) Nchi yetu ina tatizo la ajira. Vijana wengi wako mitaani kwa kukosa ajira. Fedha hizo zingeelekezwa katika maeneo yatakayotengeneza ajira kwa vijana wetu.
(3) Katika shule zetu bado kuna uhaba mkubwa wa miundombinu kwa mfano madarasa, walimu, madawati n.k. tuelekeze fedha hizi kwenye maeneo ya elimu kuliko kuelekeza kama mishahara, posho kwa wabunge wa majimbo mapya.
(4) Itakuwa jambo la busara pia kuyaunganisha yale majimbo yenye wabunge wanaowakilisha watu mathalani 8,000 ili uwakilishi wao uwe na watu 100,000 na kuendelea.
Tuwe na uchungu na nchi yetu. Tupeleke rasilmali zetu kwenye maeneo muhimu. Ninamwomba Mhe. Rais aingilie suala hili la wazo la kugawa majimbo mapya.
๐ฎ๐ฎ๐ฎ Kwa utaratibu huu itafika kila kata ni jimbo la uchaguzi!katika kuongeza wigo wa uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi nchini, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi inawajibika kupokea, kuskiza na kutekeleza maoni na mapendekezo ya wananchi juu ya uhitaji wa mgawanyo au nyongeza ya majimbo ya uchaguzi ili kusogeza huduma za kijamii, na kuongeza fursa za kiuchumi na kisiasa karibu zaidi na wananchi.
hivyo basi,
kugawanywa na kuongezwa kwa majimbo ya uchaguzi ni suala ambalo halikwepeki kwa mustakabali wa ustawi wa kidemokrasia na maendeleo ya taifa letu
vipo vigezo na masharti ya kisheria kugawanya au kuanzishwa jimbo jipya la uchaguzi gentleman, ni muhimu kuelewa ๐๐ฎ๐ฎ๐ฎ Kwa utaratibu huu itafika kila kata ni jimbo la uchaguzi!
Ujinga mtupu!
Wale wabunge wa upendeleo nao unahisi wanafaa kuwemo bungeni?katika kuongeza wigo wa uwakilishi wa wananchi katika vyombo vya maamuzi nchini, Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi inawajibika kupokea, kuskiza na kutekeleza maoni na mapendekezo ya wananchi juu ya uhitaji wa mgawanyo au nyongeza ya majimbo ya uchaguzi ili kusogeza huduma za kijamii, na kuongeza fursa za kiuchumi na kisiasa karibu zaidi na wananchi.
hivyo basi,
kugawanywa na kuongezwa kwa majimbo ya uchaguzi ni suala ambalo halikwepeki kwa mustakabali wa ustawi wa kidemokrasia na maendeleo ya taifa letu
sifahamu ikiwa kuna wabunge wa upendeleo Tanazania gentleman,Wale wabunge wa upendeleo nao unahisi wanafaa kuwemo bungeni?
๐ฎ๐ฎ๐ฎvipo vigezo na masharti ya kisheria kugawanya au kuanzishwa jimbo jipya la uchaguzi gentleman, ni muhimu kuelewa ๐
relax na kuepuka mihemko gentleman ๐๐ฎ๐ฎ๐ฎ