RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,731
- 11,470
CCM ndio tatizo la nchi hii.relax na kuepuka mihemko gentleman š

uvivu, kiburi, ubishi na uoga wako ndiyo umaskini wako gentleman,CCM ndio tatizo la nchi hii.
Hawawezi kukuelewa ushauri wako kwani ni mkakati wao na siringumu/kali kuhakikisha chawa wao wa thamani/wanaowathamini wanarudi katika ulingo wa chawa hasa panapoonekana uwezekano wa kutoboa ni sufuri.Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania.
Binafsi ninawaomba/kuwashauri kuachana kabisa na wazo hili la kugawa majimbo kutokana sababu zifuatazo:-
(1) Zoezi hili linaongeza bajeti kubwa ambayo ingeelekezwa kwenye maeneo muhimu.
(2) Mchango wa Wabunge wetu kwa sasa hayakidhi matakwa yetu sisi wananchi tuliowatuma na hivyo kuongeza majimbo ni kama kupoteza fedha.
(3) Nchi yetu ina tatizo la ajira. Vijana wengi wako mitaani kwa kukosa ajira. Fedha hizo zingeelekezwa katika maeneo yatakayotengeneza ajira kwa vijana wetu.
(3) Katika shule zetu bado kuna uhaba mkubwa wa miundombinu kwa mfano madarasa, walimu, madawati n.k. tuelekeze fedha hizi kwenye maeneo ya elimu kuliko kuelekeza kama mishahara, posho kwa wabunge wa majimbo mapya.
(4) Itakuwa jambo la busara pia kuyaunganisha yale majimbo yenye wabunge wanaowakilisha watu mathalani 8,000 ili uwakilishi wao uwe na watu 100,000 na kuendelea.
Tuwe na uchungu na nchi yetu. Tupeleke rasilmali zetu kwenye maeneo muhimu. Ninamwomba Mhe. Rais aingilie suala hili la wazo la kugawa majimbo mapya.
š®š®š®relax na kuepuka mihemko gentleman š
calm down gentleman mambo bado šš®š®š®
Hawawezi kukusikiliza wanasiasa hushawishi zitengenezwe sera ili waendelee kufanya siasa cha ajabu huwa hawajui madhara ya baadae ya sera wanazo zipitisha bungeni hatakama hazina tija kwa hapo baadaeHivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania.
Binafsi ninawaomba/kuwashauri kuachana kabisa na wazo hili la kugawa majimbo kutokana sababu zifuatazo:-
(1) Zoezi hili linaongeza bajeti kubwa ambayo ingeelekezwa kwenye maeneo muhimu.
(2) Mchango wa Wabunge wetu kwa sasa hayakidhi matakwa yetu sisi wananchi tuliowatuma na hivyo kuongeza majimbo ni kama kupoteza fedha.
(3) Nchi yetu ina tatizo la ajira. Vijana wengi wako mitaani kwa kukosa ajira. Fedha hizo zingeelekezwa katika maeneo yatakayotengeneza ajira kwa vijana wetu.
(3) Katika shule zetu bado kuna uhaba mkubwa wa miundombinu kwa mfano madarasa, walimu, madawati n.k. tuelekeze fedha hizi kwenye maeneo ya elimu kuliko kuelekeza kama mishahara, posho kwa wabunge wa majimbo mapya.
(4) Itakuwa jambo la busara pia kuyaunganisha yale majimbo yenye wabunge wanaowakilisha watu mathalani 8,000 ili uwakilishi wao uwe na watu 100,000 na kuendelea.
Tuwe na uchungu na nchi yetu. Tupeleke rasilmali zetu kwenye maeneo muhimu. Ninamwomba Mhe. Rais aingilie suala hili la wazo la kugawa majimbo mapya.
Ushauri mzuri wa busara iliyotukuka na pia posho posho kwa wanasiasa zipuguzwe walau kwa 50 asilimia. Wawe na uchungu na sisi watu wa chini. MUNGU ibariki nchi yetu Tanzania.Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania.
Binafsi ninawaomba/kuwashauri kuachana kabisa na wazo hili la kugawa majimbo kutokana sababu zifuatazo:-
(1) Zoezi hili linaongeza bajeti kubwa ambayo ingeelekezwa kwenye maeneo muhimu.
(2) Mchango wa Wabunge wetu kwa sasa hayakidhi matakwa yetu sisi wananchi tuliowatuma na hivyo kuongeza majimbo ni kama kupoteza fedha.
(3) Nchi yetu ina tatizo la ajira. Vijana wengi wako mitaani kwa kukosa ajira. Fedha hizo zingeelekezwa katika maeneo yatakayotengeneza ajira kwa vijana wetu.
(3) Katika shule zetu bado kuna uhaba mkubwa wa miundombinu kwa mfano madarasa, walimu, madawati n.k. tuelekeze fedha hizi kwenye maeneo ya elimu kuliko kuelekeza kama mishahara, posho kwa wabunge wa majimbo mapya.
(4) Itakuwa jambo la busara pia kuyaunganisha yale majimbo yenye wabunge wanaowakilisha watu mathalani 8,000 ili uwakilishi wao uwe na watu 100,000 na kuendelea.
Tuwe na uchungu na nchi yetu. Tupeleke rasilmali zetu kwenye maeneo muhimu. Ninamwomba Mhe. Rais aingilie suala hili la wazo la kugawa majimbo mapya.
Hilo liko wazi kabisaa !Hawawezi kukuelewa ushauri wako kwani ni mkakati wao na siringumu/kali kuhakikisha chawa wao wa thamani/wanaowathamini wanarudi katika ulingo wa chawa hasa panapoonekana uwezekano wa kutoboa ni sufuri.
Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania.
Binafsi ninawaomba/kuwashauri kuachana kabisa na wazo hili la kugawa majimbo kutokana sababu zifuatazo:-
(1) Zoezi hili linaongeza bajeti kubwa ambayo ingeelekezwa kwenye maeneo muhimu.
(2) Mchango wa Wabunge wetu kwa sasa hayakidhi matakwa yetu sisi wananchi tuliowatuma na hivyo kuongeza majimbo ni kama kupoteza fedha.
(3) Nchi yetu ina tatizo la ajira. Vijana wengi wako mitaani kwa kukosa ajira. Fedha hizo zingeelekezwa katika maeneo yatakayotengeneza ajira kwa vijana wetu.
(3) Katika shule zetu bado kuna uhaba mkubwa wa miundombinu kwa mfano madarasa, walimu, madawati n.k. tuelekeze fedha hizi kwenye maeneo ya elimu kuliko kuelekeza kama mishahara, posho kwa wabunge wa majimbo mapya.
(4) Itakuwa jambo la busara pia kuyaunganisha yale majimbo yenye wabunge wanaowakilisha watu mathalani 8,000 ili uwakilishi wao uwe na watu 100,000 na kuendelea.
Tuwe na uchungu na nchi yetu. Tupeleke rasilmali zetu kwenye maeneo muhimu. Ninamwomba Mhe. Rais aingilie suala hili la wazo la kugawa majimbo mapya.
CHoice kwa mara ya kwanza kuona unatumia ubongo wako vizuri sasa nikushauri ujiunge na kampeni ya no reform no election,wakaribishe na Lucas Mwashamba,Pamoja na Tlaatlah mkiacha uchawa mchango wenu kwa taifa ni mkubwa na wenye manufaa kuliko kutanguliza taamaa za kushibisha tumbo pekee.Hivi karibuni Tume Huru ya Uchaguzi imetangaza na kuomba maeneo mbalimbali kutoa/kuleta mapendekezo ya kugawa majimbo ili kuongeza idadi ya wawakilishi/Wabunge katika Bunge letu la Jamhuri ya Tanzania.