PreGE2025 Ninaomba na kuishauri Tume Huru ya Uchaguzi iachane kabisa na mpango wa kugawa majimbo.

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hawawezi kukuelewa ushauri wako kwani ni mkakati wao na siringumu/kali kuhakikisha chawa wao wa thamani/wanaowathamini wanarudi katika ulingo wa chawa hasa panapoonekana uwezekano wa kutoboa ni sufuri.
 
Hawawezi kukusikiliza wanasiasa hushawishi zitengenezwe sera ili waendelee kufanya siasa cha ajabu huwa hawajui madhara ya baadae ya sera wanazo zipitisha bungeni hatakama hazina tija kwa hapo baadae

Politicians are not interested to know the aftermath of policies to be approved
 
Ushauri mzuri wa busara iliyotukuka na pia posho posho kwa wanasiasa zipuguzwe walau kwa 50 asilimia. Wawe na uchungu na sisi watu wa chini. MUNGU ibariki nchi yetu Tanzania.
Hawawezi kukuelewa ushauri wako kwani ni mkakati wao na siringumu/kali kuhakikisha chawa wao wa thamani/wanaowathamini wanarudi katika ulingo wa chawa hasa panapoonekana uwezekano wa kutoboa ni sufuri.
Hilo liko wazi kabisaa !
 
Hawawez wakakuelewa mkuu,watu wanatafuta kuwapa watoto wao tawala,pia wanajua hatuwez wafanya chochote
 
Naunga mkono hoja!
Tena siyo kuacha idadi ya majimbo iliyopo bali kupunguza idadi ya Majimbo yaliyopo!
 

View: https://www.instagram.com/reel/DJjETvLiAhI/?igsh=MTJlMmN3dGM2cGFxZQ==
 
CHoice kwa mara ya kwanza kuona unatumia ubongo wako vizuri sasa nikushauri ujiunge na kampeni ya no reform no election,wakaribishe na Lucas Mwashamba,Pamoja na Tlaatlah mkiacha uchawa mchango wenu kwa taifa ni mkubwa na wenye manufaa kuliko kutanguliza taamaa za kushibisha tumbo pekee.
 
Kuna majimbo yamegawanywa kimkakati sana ili JJ, BI NKORO, KURWA, TRC, ARTHI wasikkse majimbo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…