Ninaomba tafsiri ya ndoto hii

i wish nijue namna ya kuicontrol
 
aisee
 
Ni YESU huyo anakuita

YESU ndo mpandafarasi na mbingun ndo kwa BABA yake
 
twende taratibu unamaanisha nianze kufanya meditation right au niwenasali sana? nielekeze ningependa kufaham
Fanya mazoezi ya kiroho na kuilewa roho yako.. usije siku moja kujikuta mateka wa kiroho kwa kuingia kwenye territory zisizokuhusu
 
twende taratibu unamaanisha nianze kufanya meditation right au niwenasali sana? nielekeze ningependa kufaham
Mazoezi ya roho, ni pamoja na kusoma vitu vya rohoni ili ku renew your soul, uwisha nguvu za mwili wako, fanya meditation etc
 
kuwepo sehemu nyingine ndotoni,maana yake =ulimwengu wa kiroho ambao una akisi matendo maisha yako ya hapa duniani na hatma ya maisha yako ,kinachoendelea sasa ama kitakachotikea mbeleni katika ulimwengu wa rorho.Jambo lolote huanzia kutimia /kitokea katika ulimwengu wa ndoto kabla ya ulimwengu wa damu na nyama mwilini.
KIOO-ni kama picha inayoakisi ,matukio yanayoendelea au yatakayotokea,ama hatma ya maisha yako .
Mdudu bui bui-ni roho mchafu roho za ufalme wa giza/nguvu za giza/adui au pepo au wachawi au shetani au ubaya fulani uovu fulani uliopangwa kutoka kwa adui/ufalme wa giza.
nyumba -ni matendo yako kwa kila tendo jema liwe jema au baya ni building material ya kujenga nyumba yako either peponi au kuzimu.
kama matendo yako ni mema mana yake unajenga nyumba yako peponi,kama matendo yako ni mabaya unajenga nyumba yako ambayo ni shimo au gereza lako kizimu.
NINI CHA KUFANYA
maombi kwa Mungu wako ,endelea kutenda mema jiepushe na dhambi ama uovu.
Omba kwa Mungu wako aendelee kukusaidia.Siyo ndoto nzuri,hii nina uhakika.solution mambo ya kiroho yanatatuliwa kiroho.Kwa njia ya imani kusali na matendo,imani+matendo mema kadiri ya principle za imani.
 
asante
 
Buibui Huwa anatoa nyuzi ambazo hutumika kunasa wadudu wengine Ili apate chakula. Ni vifungo tu unakaribishwa Ili ufungwe humo na usipate msaada wa Kutoka huko.

Sasa kuepuka hayo, dumu katika kutenda mema, maisha ya maombi, kulipa ZAKA na sadaka Ili kuimarisha Kinga zako kiroho.

Unaweza kumwona Mungu akupe tafsiri ya ndoto hiyo na akakujibu Kwa kukuletea ndoto ingine na tafsiri yake.

Ubarikiwe πŸ™
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…