kuwepo sehemu nyingine =ulimwengu wa kiroho ambao una akisi matendo maisha yako ya duniani na yaliyopel mbeleni hatma ya maisha yako ya mbeleni ama kitakachotikea mbele.
KIOO-ni kama sinema ya picha ya hatma ya maisha yako unayoishi na yatakayotokea mbeleni
Mdudu bui bui-ni roho mchafu roho za ufalme wa giza/nguvu za giza/adui au pepo au wachawi au shetani au ubaya fulani uovu fulani uliopangwa kutoka kwa adui/ufalme wa giza.
nyumba -ni matendo yako kwa kila tendo jema liwe jema au baya ni building material ya kujenga nyumba yako either peponi au kuzimu.
kama matendo yako ni mema mana yake unajenga nyumba yako peponi,kama matendo yako ni mabaya unajenga nyumba yako ambayo ni shimo au gereza lako kizimu.
NINI CHA KUFANYA
maombi kwa Mungu wako ,endelea kutenda mema jiepushe na dhambi ama uovu.
Omba kwa Mungu wako aendelee kukusaidia.Siyo ndoto nzuri,hii nina uhakika.solution mambo ya kiroho yanatatuliwa kiroho.Kwa njia ya imani kusali na matendo,imani+matendo mema kadiri ya principle za imani.