Hiii ishu iko hivi unavyoingia imf unachagua mwenyewe thamani ya pesa yako in term of dollars, baada ya hapo unaanza fanya biashara za kimataifa, endapo bidhaa zako utauza nyingi nje basi thamani ya pesa uliyo anza nayo itapanda na endapo utaingiza bidhaa nyingi kuliko kutoa basi pesa yako itashuka.
Kwa maelezo yangu hapo juu, ndo mchezo wa biashara za kimataifa umavyochezwa na nchi wastarabu wa magharibi,. Sasaa ishuu inakuja kwa waselamavi nchi za asia ( china, Thailand, japan na wenzao) hawa jamaa pesa yao inabidi ipande value lkn serikali zao zina tabia ya kuingilia mfumo na kushusha value. Vita ys uchumi inayonguruma kat y marekani na uchina nibkutokana ns huu mchezo mchafu
Waweza kujiuliza serikali za hawa majamaa wanashushaje value yao. Ni kwamba hizi serikali zinakuwa na lagre sum of dollars na watu ambao wako attention kufuatilia endapo wakiona thamani yao inaanza kupanda basi wao kazi yao ni moja tu kununua doller kwa fasta kumb demand n supply kwa pesa yao hivyo kurudisha mlinganyo hapa ndipo mmarekani analalamika. Kwa sababu
Kwa kuwa pesa yake iko juu inamfanya yeye awe mnunuzi tu kwa mchina yaan hawez uza bidhaa zake china na hata kwa ndugu zao wajapan kwa sababu ni aghali
Na japani uchumi wake haujakuwa long time hivyo anafanya juu chin pesa yake iwe n thaman ndogo ili aweze kuexport kwa nchi nyingi. Ukitaka ucheke angalia thamani ya korea kusini against Tanzania
So huo ni ujanja katika biashara za kimataifa