Unajua hiyo ni kama madawa ya kulevya, ushakuwa addictive, baasi kwa njia ileile ya madawa nayo jaribu kuitumia kuwaacha wanawake wako wa nje, embu kaaa na mkeo jaribu kumwangalia tafuta vitu vilivokuvutia mwanzo wa mahusiano yenu, ili umpende zaidi, jaribu kuwa unatka nae maa kwa mara kuepuka kupata muda wa kufanya maovu, nendeni holiday ili muwe close again, na kama uliweza kaa miaka mitano, utashindwa nini sasa hivi? jiangalie upya na jipende mwili wako ndugu yangu, maana una hali mbaya sana...........ISHI